Hebu msikilize Mkosamali anavyoitetea Tanzania na watu wake

Hebu msikilize Mkosamali anavyoitetea Tanzania na watu wake

msubhe

JF-Expert Member
Joined
Nov 11, 2014
Posts
225
Reaction score
32


Sihitaji kupimwa akili, Je, we uko tayari kupimwa akili kwa kushindwa kuelewa baya na jema? sema inatosha. Mungu ibariki TANZANI Mungu wabaliki watanzania.
 
Last edited by a moderator:
ndugu mtanzania fanya uamuzi ulio sahihi kwa kuikataa ccm
 
Yeyote anaye support CCM hakufuatilia yaliyokuwa yanaendelea Bungeni
 
Tunahitaji kuwaelimisha watanzania wote ili tuweze kuondokana na madudu ya ccm
 
labda lord lofa mkapa ndiyo akapimwe!
ccm ni adui wa afya na ustawi wa watanzania!
 
Back
Top Bottom