Mtoboasiri JF-Expert Member Joined Aug 6, 2009 Posts 5,100 Reaction score 1,955 Jan 19, 2013 #1 Mshitakiwa kafikishwa mahakamani akishtakiwa kushikwa ugoni. Hakimu: Mshitakiwa, ni kweli ulilala na mwanamke huyu usiku wa jumatano tarehe 12 July? Mshitakiwa: Hata lepe sikupata mheshimiwa! Nipeni hukumu zenu mkiniambia basis ya hukumu zenu!
Mshitakiwa kafikishwa mahakamani akishtakiwa kushikwa ugoni. Hakimu: Mshitakiwa, ni kweli ulilala na mwanamke huyu usiku wa jumatano tarehe 12 July? Mshitakiwa: Hata lepe sikupata mheshimiwa! Nipeni hukumu zenu mkiniambia basis ya hukumu zenu!
damian marijani JF-Expert Member Joined Jan 31, 2010 Posts 695 Reaction score 466 Jan 19, 2013 #2 Kwa swali aliloulizwa hana hatia
Deshmo JF-Expert Member Joined Dec 20, 2012 Posts 4,820 Reaction score 4,264 Jan 19, 2013 #3 a e i o u
J Justine kimbunga Member Joined Jan 19, 2013 Posts 43 Reaction score 1 Jan 19, 2013 #4 hatakiwi kutiwa atiani kwa kuwa hajalala nae kama ilivyodaiwa
J Jombaa jr. Member Joined Jan 12, 2013 Posts 19 Reaction score 1 Jan 20, 2013 #5 Unaweza kulala hata wiki nzima ucpate ucngizi na unaweza kusinzia bila ya kulala,walopita jeshini wanajua hili,,.!
Unaweza kulala hata wiki nzima ucpate ucngizi na unaweza kusinzia bila ya kulala,walopita jeshini wanajua hili,,.!