Hebu cheki picha hii upate majibu ya 2015 itakuwaje??

sawa lakini isiwe sawa na picha maana kudumu kwake kwaweza kuwa pawe padogo na pia wabadilike maana wengine bado wanaamini kuwa hata wasipojishughulisha watashinda Wekeni mambo hadharani kila kinachofanyika itakuwa silaha kubwa kwenu na onyesheni wapi hawataki kuchukua hatua na nini hasara inayopatikana ndo silaha nyingine maana wanalindana hata wananchi wanafahamu Aanikeni maovu yao na tafuteni ukweli juu ya kwanini madaktari waligoma na je kipi bora kuwalipa vizuri madaktari au wabunge? Angalieni pia je kweli wezi wanaofikishwa mahakamani wanashughulikiwa ipasavyo au ndo gelesha kwa wananchi? Mkifanya hivyo kweli picha hiyo itakuwa sahihi japo haitachukuwa muda mrefu kwa kutumikia wananchi maana ni mchina.
 
hayo magari yanaonyesha uhai wa hivi vyama,m4c inaelekea nchi ya asali na maziwa,ccm inaelekea nchi ya rushwa,ufisadi na sasa mauaji ya kisiasa.
 
Kitendo cha kuweza kufikiria kitu kama hiki ni jambo moja zuri sana la kuweka ujumbe ktk picha na ni wengi watakaojipanga tangia sasa ili kuijenga hiyo taswira ktk uhalisia!
 
Mleta mada nahisi umekisoma vizuri kitabu cha "THE BEAUTYFUL ONES ARE NOT YET BORN" yaani kwa hiyo picha ya basi la ccm!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…