Hebu cheki picha hii upate majibu ya 2015 itakuwaje?? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Hebu cheki picha hii upate majibu ya 2015 itakuwaje??

Discussion in 'Jamii Photos' started by Losambo, Jul 23, 2012.

 1. Losambo

  Losambo JF-Expert Member

  #1
  Jul 23, 2012
  Joined: Nov 8, 2011
  Messages: 2,623
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0
  M4C.jpg


  2015 mambo itakuwa kama picha inavyojieleza.
   
 2. S

  Smarty JF-Expert Member

  #2
  Jul 23, 2012
  Joined: Feb 25, 2011
  Messages: 729
  Likes Received: 149
  Trophy Points: 60
  ila hiyo u tong ya chadema ikipiga mzinga tunaokota jivu.....
   
 3. a

  assuredly4 JF-Expert Member

  #3
  Jul 23, 2012
  Joined: Nov 7, 2011
  Messages: 1,215
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 135
  viva cdm, cdm idumu milele ili magamba wapotee
   
 4. Kiresua

  Kiresua JF-Expert Member

  #4
  Jul 23, 2012
  Joined: May 13, 2009
  Messages: 1,202
  Likes Received: 31
  Trophy Points: 145
  hahahaah niemalizza jioni yangu vyema asante sana
   
 5. PakaJimmy

  PakaJimmy JF-Expert Member

  #5
  Jul 23, 2012
  Joined: Apr 29, 2009
  Messages: 16,236
  Likes Received: 308
  Trophy Points: 180
  Kama hizo ndizo projections basi ni nzuri ku'aim high.
   
 6. Losambo

  Losambo JF-Expert Member

  #6
  Jul 23, 2012
  Joined: Nov 8, 2011
  Messages: 2,623
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0
  Dereva wake siyo kama majaji wa voda vasta wa JK.
   
 7. Chimunguru

  Chimunguru JF-Expert Member

  #7
  Jul 23, 2012
  Joined: May 3, 2009
  Messages: 9,843
  Likes Received: 270
  Trophy Points: 180
  hiyo ndo t 2015 cdm
   
 8. marejesho

  marejesho JF-Expert Member

  #8
  Jul 23, 2012
  Joined: Jan 6, 2011
  Messages: 6,539
  Likes Received: 830
  Trophy Points: 280
  Ha ha ha ha!
   
 9. The Don

  The Don JF-Expert Member

  #9
  Jul 23, 2012
  Joined: Dec 2, 2011
  Messages: 3,455
  Likes Received: 142
  Trophy Points: 160
  Daah! Imetulia mbaya,ntaiota
   
 10. S

  Shamte Ali Member

  #10
  Jul 23, 2012
  Joined: Apr 20, 2012
  Messages: 7
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Uo mdude wa chin ka
   
 11. LiverpoolFC

  LiverpoolFC JF-Expert Member

  #11
  Jul 23, 2012
  Joined: Apr 12, 2011
  Messages: 11,001
  Likes Received: 153
  Trophy Points: 160

  Kwa kweli ccm ni janga kwa Taifa letu hawana tofauti na pepo shwetwani!

  kanyaga kanyaga!
  Kanyaga kanyaga! Hana mamlaka tena!
   
 12. Kingcobra

  Kingcobra JF-Expert Member

  #12
  Jul 23, 2012
  Joined: Jan 28, 2011
  Messages: 1,008
  Likes Received: 137
  Trophy Points: 160
  Kwa kweli hiyo projection imetulia siyo mchezo.
   
 13. hovyohovyo

  hovyohovyo JF-Expert Member

  #13
  Jul 23, 2012
  Joined: Jul 8, 2012
  Messages: 540
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 35
  Projections ziendane na mchakato wa kufanya kura zitoshe 2015.
   
 14. Shine

  Shine JF-Expert Member

  #14
  Jul 23, 2012
  Joined: Feb 5, 2011
  Messages: 11,514
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 0
  Na hilo kajamba nani la ccm likiharibika haipatikani spare yake hata kwa dawa!
   
 15. n

  niibada Member

  #15
  Jul 23, 2012
  Joined: Jul 6, 2012
  Messages: 40
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  sawa lakini isiwe sawa na picha maana kudumu kwake kwaweza kuwa pawe padogo na pia wabadilike maana wengine bado wanaamini kuwa hata wasipojishughulisha watashinda Wekeni mambo hadharani kila kinachofanyika itakuwa silaha kubwa kwenu na onyesheni wapi hawataki kuchukua hatua na nini hasara inayopatikana ndo silaha nyingine maana wanalindana hata wananchi wanafahamu Aanikeni maovu yao na tafuteni ukweli juu ya kwanini madaktari waligoma na je kipi bora kuwalipa vizuri madaktari au wabunge? Angalieni pia je kweli wezi wanaofikishwa mahakamani wanashughulikiwa ipasavyo au ndo gelesha kwa wananchi? Mkifanya hivyo kweli picha hiyo itakuwa sahihi japo haitachukuwa muda mrefu kwa kutumikia wananchi maana ni mchina.
   
 16. m

  m4cjb JF-Expert Member

  #16
  Jul 23, 2012
  Joined: Jul 23, 2012
  Messages: 6,830
  Likes Received: 282
  Trophy Points: 180
  hayo magari yanaonyesha uhai wa hivi vyama,m4c inaelekea nchi ya asali na maziwa,ccm inaelekea nchi ya rushwa,ufisadi na sasa mauaji ya kisiasa.
   
 17. Shine

  Shine JF-Expert Member

  #17
  Jul 23, 2012
  Joined: Feb 5, 2011
  Messages: 11,514
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 0
  Kitendo cha kuweza kufikiria kitu kama hiki ni jambo moja zuri sana la kuweka ujumbe ktk picha na ni wengi watakaojipanga tangia sasa ili kuijenga hiyo taswira ktk uhalisia!
   
 18. O

  Otorong'ong'o JF-Expert Member

  #18
  Jul 23, 2012
  Joined: Aug 17, 2011
  Messages: 31,091
  Likes Received: 10,449
  Trophy Points: 280
  saaafi..
   
 19. G

  GTesha JF-Expert Member

  #19
  Jul 23, 2012
  Joined: Jun 10, 2012
  Messages: 203
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  mitanzania ilivyomishoiya bado itapanda gari la ccm mark my words
   
 20. Baba V

  Baba V JF-Expert Member

  #20
  Jul 23, 2012
  Joined: Dec 29, 2010
  Messages: 19,507
  Likes Received: 170
  Trophy Points: 160
  Mleta mada nahisi umekisoma vizuri kitabu cha "THE BEAUTYFUL ONES ARE NOT YET BORN" yaani kwa hiyo picha ya basi la ccm!
   
Loading...