Laki 5 huchukui mkuu? Samahani kama niko chini sana
bila samahani, ndugu yangu laki 8 ndio bei ya kuuza.. na nauza sababu nina shida.. imenigharimu hela nyingi sana mpaka kufika tanzania.. kama umewai nunua kitu mtandaoni utakuwa unajua..
nenda posta maduka ya printing machine.. cheki wanauza bei gani
Mkuu ebu nipe bei ya mwisho kabisa ili nijipange kivingine. Unaweza kuni PM
Poa mkuu nimekupata vizuri sana. Nikifanikiwa kupata ya kuongezea kwa niliyonayo lazima nikucheki. Shukrani sana
sorry mkuu hivi kati ya printing ya mashine na ya mkono ipi quality zaidi? mana kuna kipindi kuna wazungu walikua wanatafuta mtu anaeprint kwa mkono na sio mashine nikajiuliza sana kwa nini watake ya mkono?Heshima kwenu wadau..
Nauza T-Shirt heat press, heavy duty, nzuri kabisa for transfers image and logo on T-Shirts, namba na majina kwenye jezi za michezo.. kuprint leso, vitambaa etc
Mpya kabisa haijawai tumika Bei ni Laki 8 ,,manufacture anaitwa stahls, size ni kubwa kabisa A-3
nilinunua kwa matumizi ya biashara yangu.. kama ya ziada...
Tshirt Garage Mabibo Hostel (@tshirt_garage_mabibo_hostel) • Instagram photos and videos
nimeamua niiuze tu nitatue shida zangu za ghafla
0718 537 216 / 0692 275 229
sorry mkuu hivi kati ya printing ya mashine na ya mkono ipi quality zaidi? mana kuna kipindi kuna wazungu walikua wanatafuta mtu anaeprint kwa mkono na sio mashine nikajiuliza sana kwa nini watake ya mkono?
screen printinglabda sijakuelewa swali lako... printing zote ni kwa mkono... mashine ni kurahisisha kazi tu ya mkono...
labda unieleze hao wazungu walikuwa wanataja njia gani maana kuna njia 5 za kuprint tshirts...
na hizi njia zinafanyika kutokana na aina ya kazi mteja anayotaka