Heartbroken No More!

Kumlilia X binafsi naona ni sawa kwasababu ya upendo,lakini kusema umemove on huku umeblock huyo X na marafiki zake inafikirisha kidogo
Too much of everythn is harmful ...upendo wenye kuleta madhara kwangu hapana.
Kumlilia ile ya kushindwa kula na kufanya mambo mengine ya msingi kama ya mleta mada aliyoyataja ndio nashindwa kuwaelewa.
 
Too much of everythn is harmful ...upendo wenye kuleta madhara kwangu hapana.
Kumlilia ile ya kushindwa kula na kufanya mambo mengine ya msingi kama ya mleta mada aliyoyataja ndio nashindwa kuwaelewa.

Hahahah kulia na kushindwa kula,kushindwa kusoma ishanikuta

Ni kawaida kwa wengi wetu...halafu ubaya wa kupenda sio kwamba unajipangia umpende mtu kidogo ama sana,huwa inatokea unajikuta umependa mtu sanaaaaa kiasi kwamba unaona bila yeye huwezi

Shukuru sana na ombea isikukute
 
Mi nikiona mwanaume simuelewi namtafutia mwenzie ule upendo naugawa katikati ili siku akitaka kuondoka aende tu kwa amani labda hela zake ndo zitaniuma kuzikosa
 
Mi nikiona mwanaume simuelewi namtafutia mwenzie ule upendo naugawa katikati ili siku akitaka kuondoka aende tu kwa amani labda hela zake ndo zitaniuma kuzikosa

๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€we huwa unafuata pesa zao, kwahy huyu akienda mwingine anabaki kuhudumia hahaa
 
Naomba M/mungu aendelee kunipa nguvu ya kuhimili mikikimikiki ya mahusiano ya mapenzi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ