Bado unateseka sana,walio move hata kumzungumzia tu hawafanyi kana kwamba hakuna kitu kilichowahi kutokea,bado unampenda na bado unataka aichakate papuchi yako,sikio halijawahi kukishinda kichwa.Jamaa ataendelea kukula kimasihara mpaka.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mapenzi ukiyaendekeza sana yanakufanya unakuwa mpuuzi cwezi kusahau tarehe 23mwez 3 mwaka 2019
Nilikuwa napitia mazito moyoni mwangu
Ila baada ya muda nilikataa kabisa kuendelea kuburuzwa na mapenzi nikaamua kuanza upya .....aise sasa hivi nimekuwa bonge hatari ni mtu wa movie na mimi
sent from toyota Allex
Doh!! Pole sana, maaana mmh....Mapenzi ukiyaendekeza sana yanakufanya unakuwa mpuuzi cwezi kusahau tarehe 23mwez 3 mwaka 2019
Nilikuwa napitia mazito moyoni mwangu
Ila baada ya muda nilikataa kabisa kuendelea kuburuzwa na mapenzi nikaamua kuanza upya .....aise sasa hivi nimekuwa bonge hatari ni mtu wa movie na mimi
sent from toyota Allex
Maaana mmmh nini mkuu funguka tubadilishane uzoefuDoh!! Pole sana, maaana mmh....
Amini nakwambia mpk sasa bado huja move on kama unavyojidanganya. Hebu tulia usahau mikunjo ya baharia
Yaan kumblock yeye na rafiki zake huo ni udhaifu mkubwa sana umeonyesha halafu wenzio wanakuchora tuu
Eti leo unaongea nao kesho unatembeza block πππ
Ma valentine wapo kibao wala huwezi kula kinyonge labda uwe hujui maana ya upendo
π π π kwamba atulie asahau mikunjo ya baharia sio????Amini nakwambia mpk sasa bado huja move on kama unavyojidanganya. Hebu tulia usahau mikunjo ya baharia
Yaan kumblock yeye na rafiki zake huo ni udhaifu mkubwa sana umeonyesha halafu wenzio wanakuchora tuu
Eti leo unaongea nao kesho unatembeza block πππ
Ma valentine wapo kibao wala huwezi kula kinyonge labda uwe hujui maana ya upendo
Ukiambiwa Kuna fursa juwa wewe ndiyo fursa.And i officially declare you a no man's territory. Gentlemen, we got another fish to fry hehee! Hongera kwa kumove on bidada!