Asante sana mama kwa mpangilio mzuri wa matunda...labda baada ya hapa wengi tutaanza kutimia kabla hata ya kuandikiwa na dakitari.....
Naomba kuuliza kitu kimoja juu ya hizi matunda....vp ukifanya mchanganyiko ya Cucumber + Honey + tunda lolote =? na je ina masilahi/faida yeyote kwenye mwili?
Asante.