Jamani wapendwa naombeni mnisaidie kujua tofauti ya courses hizo za afya kwa ngazi ya diploma
*Ordinary diploma in clinical medicine
*Ordinary diploma in pharmaceutical sciences
*Ordinary diploma in medical laboratory sciences
Katiya course hizo ipi ni marketable na ninzuri kuisoma kwa sasa?
Helping please