Detective J
JF-Expert Member
- Oct 17, 2016
- 30,259
- 54,662
Huwezi kumkomoa if they dont even care about you. Lazima ifikie mahali ukubali , to hell with him/her. Jikung’ute vumbiHaunywi sumu! Unahakikisha aliyekuumiza anapata alichokotaka. In every action there's equal and opposite reaction.
Ubongo unatunza kumbukumbu daima. Hasa kumbukumbu za uovu na matukio mabaya.Haijalishi ni muda gani umepita??
Yes kama ni jambo lilokuumiza vilivyoPhysically hakuna tena madhara.
Mentally kuna madhara ya daima na tahadhari kali dhidi ya tukio hilo au mtu huyo.
Yani ukikumbuka tu, Ubongo unarudisha kumbukumbu ile hapohapo.
Duhh kweli..Ubongo unatunza kumbukumbu daima. Hasa kumbukumbu za uovu na matukio mabaya.
Yani hata muda gani upite, husahau.
Hata wewe kuna matukio ambayo ni yakushtusha na kushangaza sana au kuumiza sana uliyapitia. Huwezi kuyasahau kamwe.
Kabisa.Yes kama ni jambo lilokuumiza vilivyo
Ukiona tukio mfanano na lile lazima uumie
Mf: ulifiwa na mtoto au mzazi ukienda pahala pa msiba ukiona vile kuna maumivu yatarudi kwa mda ule
Ndio maana hata msibani sio kila anaelia ana mlilia marehemu ni nyingine na makovu yake ya zamani
Mkuu kuhusu denda unaweza kuacha nakuomba sana 🙏🙏🙏Maagano ambayo yanaweza kututesa sana ijapo tunayafanya kila siku katika maisha yetu na tunaona ni poa (TUNAPASWA KUYAACHA HARAKA)
1. Kupgana denda (wet kiss romance), mnabadilishna mate, kile ni kiapo kibaya sana, hata mkiachana kimwili roho zenu huwa na mawasiliano katika "giza", na hapa ndoa mwanzo wa ndoa mpya kuharibika
Nifafanulie mkuu!Mkuu kuhusu denda unaweza kuacha nakuomba sana
Usiseme denda ina madhara unazingua 🤣Nifafanulie mkuu!
Kuacha vp?
HahahahahahaUsiseme denda ina madhara unazingua
I like it 👌 yooHahahahahaha
Huo ndo ukweli mchungu
Inawezekana wewe ni mnufaika lakn ukweli ndo huo
SawaMaagano ambayo yanaweza kututesa sana ijapo tunayafanya kila siku katika maisha yetu na tunaona ni poa (TUNAPASWA KUYAACHA HARAKA)
1. Kupgana denda (wet kiss romance), mnabadilishna mate, kile ni kiapo kibaya sana, hata mkiachana kimwili roho zenu huwa na mawasiliano katika "giza", na hapa ndoa mwanzo wa ndoa mpya kuharibika
2. kuchanjiana damu
-damu haifi, hunena, husafiri kwa kasi katika ulimwengu huu.
-makubaliano au maagano yoyote ya damu ni agano baya sana, ukiachana na mwenzako utakuwa katika maumivu makali yasiyopona
3. kubikiri mwanamke/binti na kumuacha nako huhangaisha sana pindi unapokutana na aliyebikriwa kwingne na hakuheshimu. maumivu ya kuachana na bikra wako wa kwanza lazma yakutese
4. kuzaa na kumuacha mliye zaa naye, hata angekuwa mbaya kama shetani, maumivu yake ni vigumu kuisha katika mtima wko. kumbuka ulibeba au alikupa damu yake.
KUEPUKA MAUMIVU. TUEPUKA MAAGANO AMBAYO HATUWEZI KUYATUNZA.
Trust me itakutafuna for the rest of your life. Mwili hausahau, unaweza kujiambia nime move on, but emotional memory never goes away. Huwa tunajifanya tu. I once believed on that, but we love with pain and pretend to be fine.Huwezi kumkomoa if they dont even care about you. Lazima ifikie mahali ukubali , to hell with him/her. Jikung’ute vumbi
ishi maisha yako and one day siku miaka itasonga , you will get somewhere hutokumbuka. Or you will look back and understand why mitihani kama ile inatokea
Can you prove it!?Maagano ambayo yanaweza kututesa sana ijapo tunayafanya kila siku katika maisha yetu na tunaona ni poa (TUNAPASWA KUYAACHA HARAKA)