binti wa kirombo JF-Expert Member Joined May 17, 2016 Posts 847 Reaction score 965 Feb 16, 2017 #1 Bado hujachelewa mnakaribishwa katika maombi ya uponyaji katika kituo cha karismatiki katoliki Ubungo .Kwa watu wa dini zote "Njoni kwangu, ninyi nyote msumbukao na wenye kulemewa na mizigo, nami nitawapumzisha. Jitieni nira yangu, mjifunze kwangu; kwa kuwa mimi ni mpole na mnyenyekevu wa moyo; nanyi mtapata raha nafsini mwenu; kwa maana nira yangu ni laini, na mzigo wangu ni mwepesi." Mathayo 11:28-30 "Yesu akamwambia, Leo wokovu umefika nyumbani humu, kwa sababu huyu naye ni mwana wa Ibrahimu. Kwa kuwa Mwana wa Adamu alikuja kutafuta na kuokoa kile kilichopotea." Luka 19:9-10 Karibuni nyote Attachments 16473788_1343883029020293_1725438698897496904_n.jpg 74.4 KB · Views: 64
Bado hujachelewa mnakaribishwa katika maombi ya uponyaji katika kituo cha karismatiki katoliki Ubungo .Kwa watu wa dini zote "Njoni kwangu, ninyi nyote msumbukao na wenye kulemewa na mizigo, nami nitawapumzisha. Jitieni nira yangu, mjifunze kwangu; kwa kuwa mimi ni mpole na mnyenyekevu wa moyo; nanyi mtapata raha nafsini mwenu; kwa maana nira yangu ni laini, na mzigo wangu ni mwepesi." Mathayo 11:28-30 "Yesu akamwambia, Leo wokovu umefika nyumbani humu, kwa sababu huyu naye ni mwana wa Ibrahimu. Kwa kuwa Mwana wa Adamu alikuja kutafuta na kuokoa kile kilichopotea." Luka 19:9-10 Karibuni nyote
Samvurah JF-Expert Member Joined Jan 9, 2013 Posts 552 Reaction score 556 Feb 16, 2017 #2 Ahsaante sana kwa taarifa,
Numbisa JF-Expert Member Joined Dec 12, 2016 Posts 348,738 Reaction score 1,251,367 Feb 16, 2017 #3 Amen.
AMADOGO Senior Member Joined Jul 1, 2015 Posts 108 Reaction score 79 Feb 20, 2017 #4 Asante sana kwa taarifa mtumishi. ubarikiwe
binti wa kirombo JF-Expert Member Joined May 17, 2016 Posts 847 Reaction score 965 Feb 20, 2017 Thread starter #5 AMADOGO said: Asante sana kwa taarifa mtumishi. ubarikiwe Click to expand... Amen