Kumbe kweli Kikwete na CCM pamoja hawaitakii mema nchi hii kama kweli wamesimama eti kupingana na D. Slaa. Kwa vile Kikwete tulikupa heshima ya kukupangisha kwenye lile kasri letu hapo magogoni kwa miaka mitano ukapata mwanya kuruka dunia nzima kwa kutumia mwewe wetu yule wa gulfstream, tupende nasi watanzania tuliokupa mwanya huo umsaidie Dr. Slaa asafaishe uchafu ambao uliofanya pamoja na rafiki zako wa CCM.
....................................................................................Ijumaa jioni: Ulabuni sasa.