Trial balance
JF-Expert Member
- Jun 16, 2020
- 202
- 160
Na ndo ninachotaka kukifanyaAchana nae. Wala usijibu kamwe.
Unaweza ongeza comment haijanitoshaUkikua utaacha.
Subiri ukue kwanza..nikikuongezea hautoielewa .Unaweza ongeza comment haijanitosha
Nakazia hapa mkuu 🔨Ukikua utaacha.
Akijishusha mmoja afu mwingine akabaki na kiburi chake kutakuwa hakuna mafanikio labda wajishushe wote. Love takes two.Bado mnapendana ila mnazuzuana tuuu
Hapo mmoja akijishusha mtamaliza tofauti zenu na maisha yatarudi kama zamani