He is a Good men

Buda hata hiyo "too" haifai? Alipaswa kutumia "so" ndio iwe "so boring." Akitumia "too" lazima iandamane na "to". Mfano, ",,,,too boring to,,,,,."

ungesoma kwanza sentensi iliyokosema na huyo mkuu ndio ungeelewa nilichoandika..

sio kila kwenye "too" lazima ifwate "to" kwamfano mtu akiniambia "I love you" nami nikamjibu "I love you too" wapi niweke "to"???

kwenye ile sentensi yote "too" na "so" ni sawa naama inabaki kuwa ileile.
 
Hii lugha huwa naimasta sana nikiwa juu ya stuli ndefu
ila asubuhi muda wa kuzimua huwa sikumbuki hata this is that

Hahaha haya leo wapi.nikupe miye biya tu ujipooze na yale machungu
 
Jamani muandike kwa kiswahili tu. Hamjui kwamba kidhungu kilikuja na majahazi. He is a good men... good try.

mmm wabongo bwana..
cc CUTE b mnafahamiana na huyu mtu?
 
Last edited by a moderator:
Nlivyoona neno MEN nlishtuka kdogo manake ujumbe n mzto xna. HONGERA XNA ILA EPUKA KU2MIA LUGHA UCOIFAHAM VYEMA
 

Motherland aah!?
 

swadakta
 

Masanja mkandamizaji aliwahi kusema "very good much" kwa kweli this is very good much yaani vizuri sana!
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…