Hdmi tv -functions

Dadio

JF-Expert Member
Joined
Mar 14, 2012
Posts
359
Reaction score
42
Naombeni kujua nini matuzi ya hdmi hubs kwenye tv. Kwa mfano nina tv yangu Ina HDMI1,2 na 3.functions zake ni zp? Asanten.
 
Naombeni kujua nini matuzi ya hdmi hubs kwenye tv. Kwa mfano nina tv yangu Ina HDMI1,2 na 3.functions zake ni zp? Asanten.
una receiver au decoder ambayo ni hd?kama unayo basi kuna cable inaitwa hd cable ndio unachomeka hapo ili kama unapata hd channel ndio utaona tofauti yake sd channel ukitumia hiyo cable.....pia unaweza kuchomeka hata cp player ambayo ina mfumo wa hd,blueray nk...
 
HDMI ni port inayo pitisha signal za digital kwa uwezo wa kufikia HD ya juu ambazo ni 1080p . Pia hutoa picha zenye muonekano mzuri zaidi pale unapo unganisha kwa kutumia cable ambayo inaitwa jina hilo hilo HDMI ambao pia hupitisha audio na picha kwa pamoja .Unaweza tumia kwa Receiver,Decoder,DVD player or Blue ray. lakini sio lazima uwe na HD DvD player or Blu Ray ili uweze tumia, una weza tumia HDMI cable hata kwa DVD playef ya kawaida yenyer HDMI port kwa ajili ya picha bora zaidi.Kma TV yako ni Ina uwezo wa 3D, pia unatakiwa ununue HDMI cable ambayo ni high speed.
 

Ubarikiwe Mkuu....
 

Cable ya HDMI. Unaweza pia kuunganisha na computer/laptop yako kama ina HDMI.
 
Naombeni kujua nini matuzi ya hdmi hubs kwenye tv. Kwa mfano nina tv yangu Ina HDMI1,2 na 3.functions zake ni zp? Asanten.

Nunua deki yenye HD utaona tofauti ya picha
 
Nunua deki yenye HD utaona tofauti ya picha

kama una tv ya HD na DVD player ya HD ila movie husika sio HD kutakuwa na tofauti yoyote katika matumizi ya HDIM port na port za kawaida au HDMI inafanya kwa movies za HD tu pekee
 

Je iwapo nina tv LCD AU LED na receiver ya HD kuna tofauti yoyote ya muonekano ktk channel zetu za tanzania?
 
Je iwapo nina tv LCD AU LED na receiver ya HD kuna tofauti yoyote ya muonekano ktk channel zetu za tanzania?

hakuna tofauti kutokana hakuna hata chaneli moja ya tv bongo ambayo ni HD kwa hiyo muonekano ni ule ule tu mpaka iwe inatoa chaneli ya HD kama SSHD 1 au espnHD nakadhalika..
 
kama una tv ya HD na DVD player ya HD ila movie husika sio HD kutakuwa na tofauti yoyote katika matumizi ya HDIM port na port za kawaida au HDMI inafanya kwa movies za HD tu pekee

Mkuu lazima TV iwe na HDMI port kama ilivyo kwa deki movie zake ni balaa bomba acha
 
Inauzwa laki2 na 50elfu
Hiyo laki 2 na 50 elfu ni ya nini?Cable ya HDMI inauzwa kati ya sh elf 15 hadi elf 30 na haina effect yoyote kwenye muonekano wa picha.Tofauti yake kubwa ni waya mmoja unaoweza kubeba sauti na picha.Quality ya picha inategemea zaidi na source ya picha yenyewe.Kama source ya picha imetoa picha mbovu hata ungetumia kitu gani picha haitabadilika
 
Hapa inaonyesha mpo wataalam naomba mnijuze Tv flat screen LCD na LED zinatofautiana vipi kwenye quality?
 
Kaka kama pia laptop yako ina HDMI port unaweza pia ku-hook na LCD/LED tv kama unataka kuangalia movies or whatever,HDMI cable ya mita1 nilinunua sh elfu 30 maeneo ya Uhuru krb na mnazi mmoja Dsm.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…