:typing: Wadau kwa yeyote mwenye HDMI TO USB cable anitajie bei tuongee biashara. Nataka ku connect my FLASH DISK kwenye my Samsung TV lakini haina USB port, bali ina HDMI port. PLEASE!!!
Unaweza kwa kununua deki yenye shimo la HDMI au ukatumia Laptop yenye hilo shimo la HDMI kwa kuanganisha waya wa HDMI,ukiunganisha kwenye TV yako weka kwenye eneo la HDMI,kwa hiyo HDMI inaenda kwa HDMI kwenye tv,picha saafi kaka