ofisa JF-Expert Member Joined May 15, 2011 Posts 4,361 Reaction score 4,110 Jan 5, 2013 #1 Naombeni mnijuze hizi port kama zinapatikana Dar ,na kama zinautofauti kwa namba au zote zinafanana Nina LG flat screen yenye hiyo port,Dell n 5040 na simu tajwa hapo juu.kila kaduka ka muhindi nikiuliza hamna
Naombeni mnijuze hizi port kama zinapatikana Dar ,na kama zinautofauti kwa namba au zote zinafanana Nina LG flat screen yenye hiyo port,Dell n 5040 na simu tajwa hapo juu.kila kaduka ka muhindi nikiuliza hamna
Chief-Mkwawa Platinum Member Joined May 25, 2011 Posts 32,278 Reaction score 44,414 Jan 5, 2013 #2 mkuu port imeharibika ya hdmi au unatafta cable ya kuconectia simu na tv yako
ofisa JF-Expert Member Joined May 15, 2011 Posts 4,361 Reaction score 4,110 Jan 5, 2013 Thread starter #3 chief-mkwawa said: mkuu port imeharibika ya hdmi au unatafta cable ya kuconectia simu na tv yako Click to expand... kununua. best
chief-mkwawa said: mkuu port imeharibika ya hdmi au unatafta cable ya kuconectia simu na tv yako Click to expand... kununua. best
Achahasira JF-Expert Member Joined Mar 9, 2011 Posts 1,213 Reaction score 215 Jan 5, 2013 #4 mtafute arbaab palace +255 718 777 786
Chief-Mkwawa Platinum Member Joined May 25, 2011 Posts 32,278 Reaction score 44,414 Jan 5, 2013 #5 ofisa said: kununua. best Click to expand... zipo nyingi hadi huku dodoma zimejaa nafkiri itakua labda hamuelewani viswahili tu maybe wauza maduka ukiwatajia neno hdmi hawaelewi.
ofisa said: kununua. best Click to expand... zipo nyingi hadi huku dodoma zimejaa nafkiri itakua labda hamuelewani viswahili tu maybe wauza maduka ukiwatajia neno hdmi hawaelewi.