Smartbrain
Senior Member
- Mar 23, 2013
- 184
- 35
Habar zenu wakuu .. Nina laptop dell latitude E5420 nilikua na badilisha hdd kwa bahat mbaya pin mbili zilichomoka kwenye hile hdd connector yake.. Naomba kama kuna mtu anayo connector ya haina hiyo tufanye biashara mm niko dar ...ka connector kenyewe ndo hako kwenye hii pc nlio attachh