HD ya 2.5 GB mwaka 1980

Kang

JF-Expert Member
Joined
Jun 24, 2008
Posts
5,701
Reaction score
2,613


Hard disk ya IBM 3380 yenye capacity ya 2.5 GB iliyozinduliwa mwaka 1980 kwa bei ya kama $100,000 kwa hela ya leo, pembeni ni SD card ya GB 1 ambayo haizidi $10.
 
Ni maendeleo makubwa yamepatikana katka kuvumbuwa high Technologies hongera IBM Kang
 
Last edited by a moderator:
wabongo hadi leo tunasindikiza wenzetu tu,. Hatujagundua hata GOLOLI!!!
 
wabongo hadi leo tunasindikiza wenzetu tu,. Hatujagundua hata GOLOLI!!!

Tupo kwenye utafiti wa kugundua vitu vyenye ncha kali vilivyoua Morogoro na kwa kamanda Mza:focus: Nimetumia IBM pc kwa muda wa miaka mitatu, ni nzuri πŸ˜›oa
 
Tupo kwenye utafiti wa kugundua vitu vyenye ncha kali vilivyoua Morogoro na kwa kamanda Mza:focus: Nimetumia IBM pc kwa muda wa miaka mitatu, ni nzuri πŸ˜›oa

ehehehehe daaah..
n'dai like mkuu
 
Reactions: Obe
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…