Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 98,175
- 143,968
Chisora anapigana bila ya kutumia akili
Kweli kabisa mkuu, jamaa chizi
Nasubiri hilo pambano pia , Khan naona an jeuri anajifanya anamtaka Mayweather kabla hajamalizana na GarciaHata kujilinda hawezi, anakwenda tuu huyu jamaa anafikiri sijui anapigana mtaani
Ngoja tuone pambano ambalo tunahisi litakuwa la akili Khan vs Garcia
Nasubiri hilo pambano pia , Khan naona an jeuri anajifanya anamtaka Mayweather kabla hajamalizana na Garcia