Hayati John Magufuli aliwezaje?

Yeye mwenye alikuwa jiziii kubwa.....
 
Lisu na zito kabwe wangekuwa Russia sasa hivi wangekuwa majivu walimsumbua sana mzee
 
Lisu na zito kabwe wangekuwa Russia sasa hivi wangekuwa majivu walimsumbua sana mzee
Walimsumbua kwani hii nchi ilikuwa mali ya urithi kwa baba yake!?
 
A
Absolutely
 
Walimsumbua kwani hii nchi ilikuwa mali ya urithi kwa baba yake!?
Yule mmoja alienda kwa yule mkulima wa south Africa wakataka kuzuia ndenge yetu
Na huyo mwingine kaenda world bank kasema tusipewe mkopo
Uzalendo uko wapi hapo tuwe serious kidogo.
 
Kwani Jpm alipinduliwa? Au kauawa? Au kashindwa uchaguzi? Ssh ni mrithi na alikuwa chaguo la Jpm. Shida iko wapi wapi. Mbona mioyo haitulii na kupoa na kushukuru twendelee na maisha.
 
Yule mmoja alienda kwa yule mkulima wa south Africa wakataka kuzuia ndenge yetu
Na huyo mwingine kaenda world bank kasema tusipewe mkopo
Uzalendo uko wapi hapo tuwe serious kidogo.
Hee!? Kwani mlikuwa mnakopa!? Kwa hiyo yule jamaa alikuwa muongo!?
 
Embu nikumbishe vizuri akina Seth na Rugemalila walifikishwa mahakamani kipindi kipi?
Hata Kama unamchukia JPM lakini haziwezi kuondoka ukweli kwamba ndio raisi pekee aliekua na uthubutu.
Alikuwa hajielewei. Kwani Sethi si alitumiwa tu na wahuni wa serikali yake! Kwa nini haku_dili nao !? Yaani Sethi atoke zake tu huko alikotoka aje kukabidhiwa mabilioni! Haiingii akilini. Magufuli alisumbua wanyonge, mafisadi wake chamani aliwalea.
 
Huyu mpumbavu mwenzio aliekua anaua watu kama wanyama,aendelee kuliwa na mchwa huko kaburini,bladifaken
 
Yule Bwana alikuwa ni Mtu shujaa Sana na anajiamini kuwa inawrzekana
 
Kuonea watu asiowapenda kama akina Rugemalila.
Dalali muhuni, unachonga deal ya kuuza umeme, bei unayomuuzia Tanesco inaizidi Tanesco anayomuuzia mteja!
Pesa za deal hazikufanyii maendeleo zaidi ya kuzigawagawa kama njugu!
 
Hili ni kosa la wazi kabisa alilofanya
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…