zitto junior
JF-Expert Member
- Oct 7, 2013
- 24,393
- 40,292
Kwanini alimpa Mwanyika ubunge mtu ambaye alitangaza hadharani ni fisadi aliyetuletea hasara ya Trillion 400+??You nailed it " !!! Obviously alikuwa na mapungufu yake kama binaadamu lakini katika ufisadi hakuwa fisadi !!
Hekalu unalosemea ndio Ile nyumba mama Janeth aliyokua anacheza wimbo wa harmonize?Wenye hilo jukumu la kutoa ufisadi ni chadema ila ccm hawawezi kwa sababu wananufaika.
Hata wewe hapo nikikwambia taja ufisadi wa JK hakuna unapoweza thibitisha.
Viongozi hawafanyi ufisadi moja kwa moja bali hupitia watu wengine kwa kuninglience matakwa yao.Kwa mfano Mwendazake alikuwa anapewa tenda za bure za ujenzi kupitia kampuni ya Mayanga.
Mwendazake alipewa tenda ya kuweka vinasaba kwenye mafuta kupitia kampuni ambayo ilifutwa na Samia na hiyo Kazi kupewa TBS.
Hiyo ni kifano michache tuu hapo hujagusia madini na wateule wake kule bandari,Tanroads,Bwawa la Nyerere,ndege nk.
Ndio maana hatukonyeshwa hekalu lake kule nyumbani kwake ambalo ni kufuru kuzidi hata la Msoga.
Ila wajinga kama wewe au mnaojaribu kuwafool wajinga mnatumia nguvu Sana kumpamba.
Mzalendo wa kweli Tzn hii alikuwa Nyerere tuu hana kashfa zozote za wizi.
Hofu ya Mungu afu uibe kura? Utembee na mke wa mtu?? Hofu ya Mungu ufananishwe na Yesu afu unacheka Cheka tu?? Yule alikua mpagani tu na sasa yupo kuzimu anateseka tu Hana ucha Mungu wowote!!!Magufuli alikuwa na hofu ya Mungu.
Kumcha Bwana ni chanzo cha maarifa (Mithali 1:7).
No wonder alifanya makubwa yote yale.
Ooh kumbe!! Ko unakiri CCM na JPM walikua wanataasisi za kifisadi?? Mbona nyie ndio mlisema JPM kamaliza ufisadi?
Embu nikumbishe vizuri akina Seth na Rugemalila walifikishwa mahakamani kipindi kipi?Hamna kitu alikua mkali kwa watendaji ila sio wanasiasa wenzake!! Jiulize Nchambi ni jangili mbona hakuwekwa ndani.
Jiulize makonda na Sabaya kivipi uhuni wote ule waliofanya hawakuguswa?
Vipi Mafisadi wa ESCROW kupitia Stanbic mbona hawakufungwa?
Ripoti ya Tanzanite na Makinikia ilitaja wanaCCM zaidi ya 20 mbona hawakuwekwa ndani ila Cha kushangaza Lissu ndio akageuzwa adui kwenye madini???
Unamjua Mwanyika? Ilikuaje mtu aloyetusababishia hasara ya trillion 400 akapewa ubunge na JPM tena akaitwa mzalendo kwenye campaign??
JPM is overrated otherwise Wana CCM wote wangekua Gerezani
Ufisadi ulikuwa enzi za JK na sasa umerudi awamu hiiOoh kumbe!! Ko unakiri CCM na JPM walikua wanataasisi za kifisadi?? Mbona nyie ndio mlisema JPM kamaliza ufisadi?
Pole sana.Hofu ya Mungu afu uibe kura? Utembee na mke wa mtu?? Hofu ya Mungu ufananishwe na Yesu afu unacheka Cheka tu?? Yule alikua mpagani tu na sasa yupo kuzimu anateseka tu Hana ucha Mungu wowote!!!
Waliofikishwa but hawakukutwa na hatia so wats that?Embu nikumbishe vizuri akina Seth na Rugemalila walifikishwa mahakamani kipindi kipi?
Hata Kama unamchukia JPM lakini haziwezi kuondoka ukweli kwamba ndio raisi pekee aliekua na uthubutu.
Mimi nilitengenezewa tusi zito kipindi cha JK kwa sababu tu ya kukosoa ufisadi !! Karma is a bitch !! Tusubiri !Ufisadi ulikuwa enzi za JK na sasa umerudi awamu hii
Sent from my SM-T295 using JamiiForums mobile app
Oooh tasac walijilipa Mabilion awamu ipo? Madini yalitoroshwa chini ya ukuta awamu Gani? Hivi kuna mwaka ambapo CAG hakuna ufisadi wowote? Mnamkuza mnoo JPMUfisadi ulikuwa enzi za JK na sasa umerudi awamu hii
Sent from my SM-T295 using JamiiForums mobile app
Hakuna siku ufisadi ukiwahi kuisha ila wa awamu ya JK na hii ya mama ni kibokoOooh tasac walijilipa Mabilion awamu ipo? Madini yalitoroshwa chini ya ukuta awamu Gani? Hivi kuna mwaka ambapo CAG hakuna ufisadi wowote? Mnamkuza mnoo JPM
JPM alivurunda vibaya mno ni siasa na ubabe tu vinamlinda ila hakuna kitu pale.Kwa watoto wadogo na wasiojua mambo wanadhani hayati Magufuli alianza kuwa mkali alipokuwa rais wa nchi tu wakati ukweli ni kwamba Magufuli alikuwa mkali na mfuatiliaji tangu akiwa naibu waziri, waziri na baadae rais wa nchi.
Katikati ya mafisadi wakubwa wa awamu za Mkapa na Kikwete lakini walimwogopa Magufuli na aliwashughulikia kila wizara aliyopelekwa, kwa waliokuwepo kwenye wizara ya uvuvi, aridhi na ujenzi enzi za waziri Magufuli watakwambia moto wake.
Swali la kujiuliza aliwezaje kutekeleza bila kutumbuliwa? Je kwenye baraza la mawaziri la sasa kuna waziri anayevaa viatu vyake?
Hata baada ya kuwa rais na kufariki dunia mpaka leo mwaka umeisha si Chadema , ACT Wazalendo wala CCM waliokuja na ushahidi usiotia shaka juu ya ufisadi wake licha ya kwamba waliahidi pindi tu atakapotoka madarakani basi watakuja na mikataba ya ufisadi na rushwa kubwakubwa zilizosainiwa na yeye.
Mwezi march 2022 umetimia mwaka mzima tangu atutoke duniani lakini mahasimu wake ikiwemo ,Lisu, Lema , Nape ,Makamba, Kigogo bado hawajawaletea watanzania ufisadi wa Magufuli.
kinyume chake wanaendeleza mafanikio na miradi ya awamu ya tano kwa kasi kubwa, walipinga kila kitu lakini sasa wanatumia kila kitu walichokipinga! Mbowe akimaliza kutukana anakimbilia kupanda ndege mpya ya Dreamliner impeleke KIA.
Walioahidi kuifunika legacy kumbe hawana uwezo kuifunika hata kidole chake tu!!
Muda utawaumbua zaidi.
I need no psychologist, what we object is y'all exaggerating matters about JPM. He was just a random. CCM hooligan; no wonder things are unfolding now on how Incompetent he was, ranging from diplomacy, management, to economics.Pole sana.
Go see a psychologist.
Nasema hivi , Mwendazake alijenga jumba lake la kifahari kama Ikulu kwa Kodi yetu.Hekalu unalosemea ndio Ile nyumba mama Janeth aliyokua anacheza wimbo wa harmonize?
Tatizo la humu jf wanadhani watu wote ni lazima wawe wa chama tawala au upinzani ! Kumbe wengine ni NEUTRAL !! WANASIMAMA NA NCHI KWA MASLAHI YA NCHI !!Sina huo ujinga,,nimeshakwambia mimi ni independent
Umedandia hoja yangu,nenda mwanzo wa thread utakuta orodha ya alivyoibaKwani Magufuli aliiba nini?
Nyie si mlitaka kuifunga mahakama ya mafisadi eti haina kesi tena baada ya majizi yote kudhibitiwa😂😂😂!!Hakuna siku ufisadi ukiwahi kuisha ila wa awamu ya JK na hii ya mama ni kiboko
Sent from my SM-T295 using JamiiForums mobile app
Mafisadi wamerudi kwa kasi sana awamu hiiNyie si mlitaka kuifunga mahakama ya mafisadi eti haina kesi tena baada ya majizi yote kudhibitiwa[emoji23][emoji23][emoji23]!!
Anyway hao wote ni CCM so bora umekiri kuwa hamna viongozi wazuri
Uzuri wote ni CCM so unajua tatizo likwapi.
Huyu uliyemjibu ni nyumba ndogo ya mzee wa msoga ,mpuuze.Sasa huu ndiyo ushahidi?
Hivi hata mimi naweza kumtuhumu mtu yeyote kwa kutaja tu tuhuma bila vielelezo.
Nilifikiri wewe great thinker unajuwa jinsi wenzio wanavyoweka ushahidi usio acha shaka.
Zipo tuhuma humu wenzio waliweka enzi za JK kila mtu alikubaliana nazo. Fuatilia kesi ya Maxence Melo alivyo lazimishwa atoe utambulisho wa hao wafichua ufisadi.
Zisome hizo thread zilizoleta shida utajua unadaiwa nini kwenye tuhuma ulizotoa.