Unataka Marehemu akushitaki?!!!Ushahidi usiowacha shaka ni unatafsiriwa mahakamani,hapa tunaweka msingi wa tuhuma.
Mtuhumiwa answeza Kuni sue kotini kama anaona nimemchafua then huko ndipo naweza thibitisha zaidi.
By the way matumizi mabaya ya madaraka ni ufisadi tosha..
Kufa sio excuse ya watu kutosema.Familia yake sio marehemu.Unataka Marehemu akushitaki?!!!
Kweli wewe ni great thinker kama January.
Ulijuwa marehemu hajitetei ukaona uweke tuhuma bila ushahidi. Hii nayo akili kubwa.
Nyerere alikuwa na bahati ya kuongoza nchi wakati tukiwa hatuna Youtube wala hizi media nyingi za mitandaoni. Maendeleo ya mawasiliano hayakuwa kama miaka ya sasa japokuwa hiyo haiondoi ukweli kwamba alikuwa ni mwaminifu na hakuwa mwizi aliridhika na kile alichokuwa akikipata mwisho wa mwezi.Wenye hilo jukumu la kutoa ufisadi ni chadema ila ccm hawawezi kwa sababu wananufaika.
Hata wewe hapo nikikwambia taja ufisadi wa JK hakuna unapoweza thibitisha.
Viongozi hawafanyi ufisadi moja kwa moja bali hupitia watu wengine kwa kuninglience matakwa yao.Kwa mfano Mwendazake alikuwa anapewa tenda za bure za ujenzi kupitia kampuni ya Mayanga.
Mwendazake alipewa tenda ya kuweka vinasaba kwenye mafuta kupitia kampuni ambayo ilifutwa na Samia na hiyo Kazi kupewa TBS.
Hiyo ni kifano michache tuu hapo hujagusia madini na wateule wake kule bandari,Tanroads,Bwawa la Nyerere,ndege nk.
Ndio maana hatukonyeshwa hekalu lake kule nyumbani kwake ambalo ni kufuru kuzidi hata la Msoga.
Ila wajinga kama wewe au mnaojaribu kuwafool wajinga mnatumia nguvu Sana kumpamba.
Mzalendo wa kweli Tzn hii alikuwa Nyerere tuu hana kashfa zozote za wizi.
Wanaosema alikuwa fisadi ndio waulete.Sasa hivi hayupo, kwa nini hauleti ufisadi wake?
Kuna watu hawaamini kabisa kuwa JPM alikuwa napiga pia. Utasikia, thibitisha .... wakati wao wanashindwa kuthibitisha ufisadi wa awamu za huko nyuma za JK, Mkapa na Mwinyi. Kwa kuwa hakuna audit inayofanyika mengiWenye hilo jukumu la kutoa ufisadi ni chadema ila ccm hawawezi kwa sababu wananufaika.
Hata wewe hapo nikikwambia taja ufisadi wa JK hakuna unapoweza thibitisha.
Viongozi hawafanyi ufisadi moja kwa moja bali hupitia watu wengine kwa kuninglience matakwa yao.Kwa mfano Mwendazake alikuwa anapewa tenda za bure za ujenzi kupitia kampuni ya Mayanga.
Mwendazake alipewa tenda ya kuweka vinasaba kwenye mafuta kupitia kampuni ambayo ilifutwa na Samia na hiyo Kazi kupewa TBS.
Hiyo ni kifano michache tuu hapo hujagusia madini na wateule wake kule bandari,Tanroads,Bwawa la Nyerere,ndege nk.
Ndio maana hatukonyeshwa hekalu lake kule nyumbani kwake ambalo ni kufuru kuzidi hata la Msoga.
Ila wajinga kama wewe au mnaojaribu kuwafool wajinga mnatumia nguvu Sana kumpamba.
Mzalendo wa kweli Tzn hii alikuwa Nyerere tuu hana kashfa zozote za wizi.
Hata logic ndogo tuu kwamba kwa nini amfute Kazi CAG aliyeibua ufisadi wanajifanya hawaoni 😁😁.Kuna watu hawaamini kabisa kuwa JPM alikuwa napiga pia. Utasikia, thibitisha .... wakati wao wanashindwa kuthibitisha ufisadi wa awamu za huko nyuma za JK, Mkapa na Mwinyi. Kwa kuwa hakuna audit inayofanyika mengi
Kwa jinsi madili yalivyokuwa yanafanyika bila kufuata taratibu za manunuzi there is no way kuwa ilikuwa kwa nia njema tu na hakukuwa na upigaji. Kwa jinsi alivyokuwa anapenda vitu vizuri vizuri, binafsi naamini alikuwa anvuta ..... Hao wanaodai hakuvuta watupe majibu kwa haya machache;
Kwa nini kwenye scandal ya Nyumba za serikali akiwa waziri hakuwahi kujisafisha?
Kwa nini ile Boat chakavu iliyonunuliwa kwa bei ya juu lilipewa jeshi ili watu wasiijadili ...!!?
Kwa nini kwenye 1.5 Trillion mpaka leo hatujui matumizi yake. Na maelezo yaliyotolewa wote tunajua ni ya uongo ... Kwa nini walidanganya halafu wakafunika na wakamfukuza kazi CAG?
Kwa nini Ndege zilinunuliwa Cash na mpaka leo hata kwenye CAG report hatujui gharama halisi za hizo ndege?
Kwa nini SGR alinyang'anywa mchina aliyekuwa aijenge kwa mkopo rahisi wa Wachna na akapewa Mturuki na tukajenga kwa kutumia mikopo ya kibiashara ya Swiss bank?
Kwa ujumla question marks kwa Mwendazake ni nyingi kuliko awamu zote zilizopita .....!!
Ulitaka CAG ajibuje? Nani kakwambia hakuna ushahidi?Nyumba za serikali waziri mkuu alikuwa Sumaye na alishalitolea ufafanuzi .
1.5T CAG aliulizwa ikulu akakana hamna kitu kama hicho na hata Zito kabwe mwanzilishi wa hizo skendo hana ushahidi mpaka leo.
Zito kabwe alizitukana sana ndege lakini leo ndiyo mteja mkubwa wa hizo ndege
Mkuu hujajibu maswali yangu.Nyumba za serikali waziri mkuu alikuwa Sumaye na alishalitolea ufafanuzi .
1.5T CAG aliulizwa ikulu akakana hamna kitu kama hicho na hata Zito kabwe mwanzilishi wa hizo skendo hana ushahidi mpaka leo.
Zito kabwe alizitukana sana ndege lakini leo ndiyo mteja mkubwa wa hizo ndege
Tatizo Watanzania wamezoea kuendeshwa kwa Propaganda .... lolote wanaloambiwa na Kiongozi wanaamini. Ndiyo maana Maza kaanza kuwazungusha kwenye Katiba na watu wanamtetea ...!!Hata logic ndogo tuu kwamba kwa nini amfute Kazi CAG aliyeibua ufisadi wanajifanya hawaoni 😁😁.
Pili mimi Nina msururu wa miradi iliyopigwa na kuchezewa na wateule wake kwa sababu watu walikuwa wanawaogopa.
Kiufupi wateule wa Mwendazake wametajirika Sana ni vile mama hajataka kufukua makaburi na pia kama nilivyosema ufisadi ni roho ya CCM na huwa wanalindana.
Ni ushahidi wa kimazingira hata kama unatia shaka.Huu ndio ushahidi usiotia shaka?
Sentensi ya mwisho inakubalika !Ushahidi usiowacha shaka ni unatafsiriwa mahakamani,hapa tunaweka msingi wa tuhuma.
Mtuhumiwa answeza Kuni sue kotini kama anaona nimemchafua then huko ndipo naweza thibitisha zaidi.
By the way matumizi mabaya ya madaraka ni ufisadi tosha..
Duh! Kumbe wewe haupo pande ile !! Salaaleeh !!Hata logic ndogo tuu kwamba kwa nini amfute Kazi CAG aliyeibua ufisadi wanajifanya hawaoni 😁😁.
Pili mimi Nina msururu wa miradi iliyopigwa na kuchezewa na wateule wake kwa sababu watu walikuwa wanawaogopa.
Kiufupi wateule wa Mwendazake wametajirika Sana ni vile mama hajataka kufukua makaburi na pia kama nilivyosema ufisadi ni roho ya CCM na huwa wanalindana.
Mimi siko ni raia tuu independentDuh! Kumbe wewe haupo pande ile !! Salaaleeh !!
Mimi siko kwenye timu yeyote ila naweza muunga mkono mtu yeyote ambae naona sio mshamba na ana sera rafiki hasa za biashara.Wewe ni timu gaidi
Ndio nani huyo?Kaungane na muolewa ubelgiji
Sina huo ujinga,,nimeshakwambia mimi ni independentMrs amsterdam
Ushahidi upi? Si kafungwa miaka 30 huyo sabaya!! Nchambi si alikiri kumiliki zile silaha akalipa faini ndogo tu tena katoa kwenye fedha chafu hizo hizo alizoua tembo! Huyo mwanyika si JPM wenyewe mlisema Acacia ni mafisadi na kwamba Lissu anawasiliana na Fisadi Mwanyika!! Kivp tena mie ndio nilete ushahidi wakati JPM ndio kawaita Acacia majizi??Kwa nini usipeleke huo ushahidi mahakamani?
Kwa watoto wadogo na wasiojua mambo wanadhani hayati Magufuli alianza kuwa mkali alipokuwa rais wa nchi tu wakati ukweli ni kwamba Magufuli alikuwa mkali na mfuatiliaji tangu akiwa naibu waziri, waziri na baadae rais wa nchi.
Katikati ya mafisadi wakubwa wa awamu za Mkapa na Kikwete lakini walimwogopa Magufuli na aliwashughulikia kila wizara aliyopelekwa, kwa waliokuwepo kwenye wizara ya uvuvi, aridhi na ujenzi enzi za waziri Magufuli watakwambia moto wake.
Swali la kujiuliza aliwezaje kutekeleza bila kutumbuliwa? Je kwenye baraza la mawaziri la sasa kuna waziri anayevaa viatu vyake?
Hata baada ya kuwa rais na kufariki dunia mpaka leo mwaka umeisha si Chadema , ACT Wazalendo wala CCM waliokuja na ushahidi usiotia shaka juu ya ufisadi wake licha ya kwamba waliahidi pindi tu atakapotoka madarakani basi watakuja na mikataba ya ufisadi na rushwa kubwakubwa zilizosainiwa na yeye.
Mwezi march 2022 umetimia mwaka mzima tangu atutoke duniani lakini mahasimu wake ikiwemo ,Lisu, Lema , Nape ,Makamba, Kigogo bado hawajawaletea watanzania ufisadi wa Magufuli.
kinyume chake wanaendeleza mafanikio na miradi ya awamu ya tano kwa kasi kubwa, walipinga kila kitu lakini sasa wanatumia kila kitu walichokipinga! Mbowe akimaliza kutukana anakimbilia kupanda ndege mpya ya Dreamliner impeleke KIA.
Walioahidi kuifunika legacy kumbe hawana uwezo kuifunika hata kidole chake tu!!
Muda utawaumbua zaidi.
Mbona ufisadi wake unatisha na uko wazi mkuu. Zile tril. 1.5 alizirudisha kwani. Nenda kwa CAG atakwambia upigaji wa jpm.Kwa watoto wadogo na wasiojua mambo wanadhani hayati Magufuli alianza kuwa mkali alipokuwa rais wa nchi tu wakati ukweli ni kwamba Magufuli alikuwa mkali na mfuatiliaji tangu akiwa naibu waziri, waziri na baadae rais wa nchi.
Katikati ya mafisadi wakubwa wa awamu za Mkapa na Kikwete lakini walimwogopa Magufuli na aliwashughulikia kila wizara aliyopelekwa, kwa waliokuwepo kwenye wizara ya uvuvi, aridhi na ujenzi enzi za waziri Magufuli watakwambia moto wake.
Swali la kujiuliza aliwezaje kutekeleza bila kutumbuliwa? Je kwenye baraza la mawaziri la sasa kuna waziri anayevaa viatu vyake?
Hata baada ya kuwa rais na kufariki dunia mpaka leo mwaka umeisha si Chadema , ACT Wazalendo wala CCM waliokuja na ushahidi usiotia shaka juu ya ufisadi wake licha ya kwamba waliahidi pindi tu atakapotoka madarakani basi watakuja na mikataba ya ufisadi na rushwa kubwakubwa zilizosainiwa na yeye.
Mwezi march 2022 umetimia mwaka mzima tangu atutoke duniani lakini mahasimu wake ikiwemo ,Lisu, Lema , Nape ,Makamba, Kigogo bado hawajawaletea watanzania ufisadi wa Magufuli.
kinyume chake wanaendeleza mafanikio na miradi ya awamu ya tano kwa kasi kubwa, walipinga kila kitu lakini sasa wanatumia kila kitu walichokipinga! Mbowe akimaliza kutukana anakimbilia kupanda ndege mpya ya Dreamliner impeleke KIA.
Walioahidi kuifunika legacy kumbe hawana uwezo kuifunika hata kidole chake tu!!
Muda utawaumbua zaidi.
Kwani Magufuli aliiba nini?Wenye hilo jukumu la kutoa ufisadi ni chadema ila ccm hawawezi kwa sababu wananufaika.