Takukuru walichunguza wakakosa ushahidi!! Una jingine?Unajua ufisadi uliofanywa na mbowe kwenye ruzuku ya Chadema?
Muulize Lijualikali
Sijamzungumzia Mbowe bali nilikuwa najibu mtoa mada na ushahidi nimeweka so mambo ya Mbowe waachie wahusika.Unajua ufisadi uliofanywa na mbowe kwenye ruzuku ya Chadema?
Muulize Lijualikali
Hamna kitu alikua mkali kwa watendaji ila sio wanasiasa wenzake!! Jiulize Nchambi ni jangili mbona hakuwekwa ndani.Kwa watoto wadogo na wasiojua mambo wanadhani hayati Magufuli alianza kuwa mkali alipokuwa rais wa nchi tu wakati ukweli ni kwamba Magufuli alikuwa mkali na mfuatiliaji tangu akiwa naibu waziri, waziri na baadae rais wa nchi.
Vp zile nyumba alizohonga vimada wake na mdogo wake aliyekuwa mwanafunzi?Kwa watoto wadogo na wasiojua mambo wanadhani hayati Magufuli alianza kuwa mkali alipokuwa rais wa nchi tu wakati ukweli ni kwamba Magufuli alikuwa mkali na mfuatiliaji tangu akiwa naibu waziri, waziri na baadae rais wa nchi.
Katikati ya mafisadi wakubwa wa awamu za Mkapa na Kikwete lakini walimwogopa Magufuli na aliwashughulikia kila wizara aliyopelekwa, kwa waliokuwepo kwenye wizara ya uvuvi, aridhi na ujenzi enzi za waziri Magufuli watakwambia moto wake.
swali la kujiuliza aliwezaje?? Je kwenye baraza la mawaziri la sasa kuna waziri anayevaa viatu vyake?
Hata baada ya kuwa rais na kufariki dunia mpaka leo mwaka umeisha si Chadema , ACT Wazalendo wala CCM waliokuja na ushahidi usiotia shaka juu ya ufisadi wake licha ya kwamba waliahidi pindi tu atakapotoka madarakani basi watakuja na mikataba ya ufisadi na rushwa kubwakubwa zilizosainiwa na yeye.
Mwezi march 2022 umetimia mwaka mzima tangu atutoke duniani lakini mahasimu wake ikiwemo ,Lisu, Lema , Nape ,Makamba, Kigogo bado hawajawaletea watanzania ufisadi wa Magufuli.
kinyume chake wanaendeleza mafanikio na miradi ya awamu ya tano kwa kasi kubwa, walipinga kila kitu lakini sasa wanatumia kila kitu walichokipinga!
Walioahidi kuifunika legacy kumbe hawana uwezo kuifunika hata kidole chake tu!!
Muda utawaumbua zaidi.
Acha upumbav bro, jibu hojaDaaaahhh, basi chonga sanamu yake uiabudu
You nailed it " !!! Obviously alikuwa na mapungufu yake kama binaadamu lakini katika ufisadi hakuwa fisadi !!Kwa watoto wadogo na wasiojua mambo wanadhani hayati Magufuli alianza kuwa mkali alipokuwa rais wa nchi tu wakati ukweli ni kwamba Magufuli alikuwa mkali na mfuatiliaji tangu akiwa naibu waziri, waziri na baadae rais wa nchi.
Katikati ya mafisadi wakubwa wa awamu za Mkapa na Kikwete lakini walimwogopa Magufuli na aliwashughulikia kila wizara aliyopelekwa, kwa waliokuwepo kwenye wizara ya uvuvi, aridhi na ujenzi enzi za waziri Magufuli watakwambia moto wake.
swali la kujiuliza aliwezaje?? Je kwenye baraza la mawaziri la sasa kuna waziri anayevaa viatu vyake?
Hata baada ya kuwa rais na kufariki dunia mpaka leo mwaka umeisha si Chadema , ACT Wazalendo wala CCM waliokuja na ushahidi usiotia shaka juu ya ufisadi wake licha ya kwamba waliahidi pindi tu atakapotoka madarakani basi watakuja na mikataba ya ufisadi na rushwa kubwakubwa zilizosainiwa na yeye.
Mwezi march 2022 umetimia mwaka mzima tangu atutoke duniani lakini mahasimu wake ikiwemo ,Lisu, Lema , Nape ,Makamba, Kigogo bado hawajawaletea watanzania ufisadi wa Magufuli.
kinyume chake wanaendeleza mafanikio na miradi ya awamu ya tano kwa kasi kubwa, walipinga kila kitu lakini sasa wanatumia kila kitu walichokipinga!
Walioahidi kuifunika legacy kumbe hawana uwezo kuifunika hata kidole chake tu!!
Muda utawaumbua zaidi.
Sasa huu ndiyo ushahidi?Wenye hilo jukumu la kutoa ufisadi ni chadema ila ccm hawawezi kwa sababu wananufaika.
Hata wewe hapo nikikwambia taja ufisadi wa JK hakuna unapoweza thibitisha.
Viongozi hawafanyi ufisadi moja kwa moja bali hupitia watu wengine kwa kuninglience matakwa yao.Kwa mfano Mwendazake alikuwa anapewa tenda za bure za ujenzi kupitia kampuni ya Mayanga.
Mwendazake alipewa tenda ya kuweka vinasaba kwenye mafuta kupitia kampuni ambayo ilifutwa na Samia na hiyo Kazi kupewa TBS.
Hiyo ni kifano michache tuu hapo hujagusia madini na wateule wake kule bandari,Tanroads,Bwawa la Nyerere,ndege nk.
Ndio maana hatukonyeshwa hekalu lake kule nyumbani kwake ambalo ni kufuru kuzidi hata la Msoga.
Ila wajinga kama wewe au mnaojaribu kuwafool wajinga mnatumia nguvu Sana kumpamba.
Mzalendo wa kweli Tzn hii alikuwa Nyerere tuu hana kashfa zozote za wizi.
Takukuru wenyewe ni mafisadiTakukuru walichunguza wakakosa ushahidi!! Una jingine?
Ushahidi usiowacha shaka ni unatafsiriwa mahakamani,hapa tunaweka msingi wa tuhuma.Sasa huu ndiyo ushahidi?
Hivi hata mimi naweza kumtuhumu mtu yeyote kwa kutaja tu tuhuma bila vielelezo.
Nilifikiri wewe great thinker unajuwa jinsi wenzio wanavyoweka ushahidi usio acha shaka.
Zipo tuhuma humu wenzio waliweka enzi za JK kila mtu alikubaliana nazo. Fuatilia kesi ya Maxence Melo alivyo lazimishwa atoe utambulisho wa hao wafichua ufisadi.
Zisome hizo thread zilizoleta shida utajua unadaiwa nini kwenye tuhuma ulizotoa.
Ushahidi mahakamani!? Sabaya yuko ndani kwa ushahidi upi kwani!?Kwa nini usipeleke huo ushahidi mahakamani?