Hayambee....!!!!

Mtori ni kama uji unaotokana na ndizi da farkhina ambamo unachanganywa na nyama etc. Ni chakula kizuri sana kwa watoto, wagonjwa, wa mama wajawazito na hata kwa wale wanaotumia kilevi inasaidia kukata kilevi asubuhi!

Ahsante donlucchese....
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…