Manyerere Jackton
JF-Expert Member
- Dec 11, 2012
- 2,438
- 4,465
CDM kimekomaa kuliko unavyoweza kufikiria wewe na wenzako wenye uoga wa mabadiliko. speed ya ukomavu wa wanachama haina budi iendane na speed ya ukomavu wa viongozi ktk kufanya maamuzi magumu na sahihi katika wakati muafaka. na katika ukomavu huu huu utakaoonyeshwa na viongozi katika kufanya maamuzi magumu ndio utadetermine chama kimekomaa kiasi gani ili kikabidhiwe dola by the year 2015.
katika mojawapo ya sredi zangu nimesema cdm haina budi ijitofautishe na ccm katika kufanya maamuzi magumu kwani tumeona jinsi kulindana kulivyoigharimu ccm kisiasa kwa sasa. vile vile nimesema kuwaondoa wanachama wachache wachafu ili kukipurify chama ni njia nzuri ya kukipandisha chama chati mioyoni mwa watanzania.
hii issue ya mapandikizi ikitumiwa vizuri itakiinua chama in a very positive way na manyang'au wataishia kuleta vitisho vya 'oooh mtaua chama' but ukweli utabaki wanaoamua chama kife ni wanachama na sio watu wachache wenye nia mbaya ya kukidhoofisha chama. wanachama tunajua ili chama kiwe madhubuti ni lazima hatua madhubuti na maamuzi magumu yafanyike kudhihirisha ukomavu wake! sio hatua na maamuzi legelege yaliyo dhaifu tukitarajia kujenga chama madhubuti!
Wana JF, salaam
Wiki kadhaa zilizopita tuliandika habari ya kuhadharisha juu ya kufa kwa CHADEMA. Tuliandika kwa kina namna baadhi ya viongozi ndani ya CHADEMA na jumuiya zake, hasa BAVICHA wanavyojitahidi kukivuruga chama. Tukaandika hadi maoni ya mhariri kuonya na kuhadharisha, lakini kwa bahati mbaya habari hiyo ilipokewa vibaya sana. Wapo waliodhani kuwa tumetumwa na CCM kuandika hayo tuliyoyaandika. Lakini yanayoendelea ndani ya CHADEMA, na kilichoandikwa leo na Tanzania Daima, kinathibitisha tulichokiandika. Naomba wana CHADEMA na wapenda mageuzi wote kuwa wavumilivu kwa kusoma habari zinazowahusu kwa sababu kutoka humo watapata jambo la kuwasaidia.
Msimamo wetu ni kuwa na Upinzani imara na usiokuwa na vimelea vya waasi. Juhudi za kuikuza demokrasia nchini ni lazima ziende sambamba na kuambizana ukweli kwa sababu kulijua tatizo ni hatua moja ya kulipatia ufumbuzi.
Manyerere Jackton
Dar es Salaam
Mungu akupe miaka mingine 1000 ya kuishi.
Wana JF, salaam
Wiki kadhaa zilizopita tuliandika habari ya kuhadharisha juu ya kufa kwa CHADEMA. Tuliandika kwa kina namna baadhi ya viongozi ndani ya CHADEMA na jumuiya zake, hasa BAVICHA wanavyojitahidi kukivuruga chama.
Tukaandika hadi maoni ya mhariri kuonya na kuhadharisha, lakini kwa bahati mbaya habari hiyo ilipokewa vibaya sana. Wapo waliodhani kuwa tumetumwa na CCM kuandika hayo tuliyoyaandika.
Lakini yanayoendelea ndani ya CHADEMA, na kilichoandikwa leo na Tanzania Daima, kinathibitisha tulichokiandika. Naomba wana CHADEMA na wapenda mageuzi wote kuwa wavumilivu kwa kusoma habari zinazowahusu kwa sababu kutoka humo watapata jambo la kuwasaidia.
Msimamo wetu ni kuwa na Upinzani imara na usiokuwa na vimelea vya waasi. Juhudi za kuikuza demokrasia nchini ni lazima ziende sambamba na kuambizana ukweli kwa sababu kulijua tatizo ni hatua moja ya kulipatia ufumbuzi.
Manyerere Jackton
Dar es Salaam
CDM kimekomaa kuliko unavyoweza kufikiria wewe na wenzako wenye uoga wa mabadiliko. speed ya ukomavu wa wanachama haina budi iendane na speed ya ukomavu wa viongozi ktk kufanya maamuzi magumu na sahihi katika wakati muafaka. na katika ukomavu huu huu utakaoonyeshwa na viongozi katika kufanya maamuzi magumu ndio utadetermine chama kimekomaa kiasi gani ili kikabidhiwe dola by the year 2015.
katika mojawapo ya sredi zangu nimesema cdm haina budi ijitofautishe na ccm katika kufanya maamuzi magumu kwani tumeona jinsi kulindana kulivyoigharimu ccm kisiasa kwa sasa. vile vile nimesema kuwaondoa wanachama wachache wachafu ili kukipurify chama ni njia nzuri ya kukipandisha chama chati mioyoni mwa watanzania.
hii issue ya mapandikizi ikitumiwa vizuri itakiinua chama in a very positive way na manyang'au wataishia kuleta vitisho vya 'oooh mtaua chama' but ukweli utabaki wanaoamua chama kife ni wanachama na sio watu wachache wenye nia mbaya ya kukidhoofisha chama. wanachama tunajua ili chama kiwe madhubuti ni lazima hatua madhubuti na maamuzi magumu yafanyike kudhihirisha ukomavu wake! sio hatua na maamuzi legelege yaliyo dhaifu tukitarajia kujenga chama madhubuti!
CDM kimekomaa kuliko unavyoweza kufikiria wewe na wenzako wenye uoga wa mabadiliko. speed ya ukomavu wa wanachama haina budi iendane na speed ya ukomavu wa viongozi ktk kufanya maamuzi magumu na sahihi katika wakati muafaka. na katika ukomavu huu huu utakaoonyeshwa na viongozi katika kufanya maamuzi magumu ndio utadetermine chama kimekomaa kiasi gani ili kikabidhiwe dola by the year 2015.
katika mojawapo ya sredi zangu nimesema cdm haina budi ijitofautishe na ccm katika kufanya maamuzi magumu kwani tumeona jinsi kulindana kulivyoigharimu ccm kisiasa kwa sasa. vile vile nimesema kuwaondoa wanachama wachache wachafu ili kukipurify chama ni njia nzuri ya kukipandisha chama chati mioyoni mwa watanzania.
hii issue ya mapandikizi ikitumiwa vizuri itakiinua chama in a very positive way na manyang'au wataishia kuleta vitisho vya 'oooh mtaua chama' but ukweli utabaki wanaoamua chama kife ni wanachama na sio watu wachache wenye nia mbaya ya kukidhoofisha chama. wanachama tunajua ili chama kiwe madhubuti ni lazima hatua madhubuti na maamuzi magumu yafanyike kudhihirisha ukomavu wake! sio hatua na maamuzi legelege yaliyo dhaifu tukitarajia kujenga chama madhubuti!
Wana JF, salaam
Wiki kadhaa zilizopita tuliandika habari ya kuhadharisha juu ya kufa kwa CHADEMA. Tuliandika kwa kina namna baadhi ya viongozi ndani ya CHADEMA na jumuiya zake, hasa BAVICHA wanavyojitahidi kukivuruga chama.
Tukaandika hadi maoni ya mhariri kuonya na kuhadharisha, lakini kwa bahati mbaya habari hiyo ilipokewa vibaya sana. Wapo waliodhani kuwa tumetumwa na CCM kuandika hayo tuliyoyaandika.
Lakini yanayoendelea ndani ya CHADEMA, na kilichoandikwa leo na Tanzania Daima, kinathibitisha tulichokiandika. Naomba wana CHADEMA na wapenda mageuzi wote kuwa wavumilivu kwa kusoma habari zinazowahusu kwa sababu kutoka humo watapata jambo la kuwasaidia.
Msimamo wetu ni kuwa na Upinzani imara na usiokuwa na vimelea vya waasi. Juhudi za kuikuza demokrasia nchini ni lazima ziende sambamba na kuambizana ukweli kwa sababu kulijua tatizo ni hatua moja ya kulipatia ufumbuzi.
Manyerere Jackton
Dar es Salaam
CDM kimekomaa kuliko unavyoweza kufikiria wewe na wenzako wenye uoga wa mabadiliko. speed ya ukomavu wa wanachama haina budi iendane na speed ya ukomavu wa viongozi ktk kufanya maamuzi magumu na sahihi katika wakati muafaka. na katika ukomavu huu huu utakaoonyeshwa na viongozi katika kufanya maamuzi magumu ndio utadetermine chama kimekomaa kiasi gani ili kikabidhiwe dola by the year 2015.
katika mojawapo ya sredi zangu nimesema cdm haina budi ijitofautishe na ccm katika kufanya maamuzi magumu kwani tumeona jinsi kulindana kulivyoigharimu ccm kisiasa kwa sasa. vile vile nimesema kuwaondoa wanachama wachache wachafu ili kukipurify chama ni njia nzuri ya kukipandisha chama chati mioyoni mwa watanzania.
hii issue ya mapandikizi ikitumiwa vizuri itakiinua chama in a very positive way na manyang'au wataishia kuleta vitisho vya 'oooh mtaua chama' but ukweli utabaki wanaoamua chama kife ni wanachama na sio watu wachache wenye nia mbaya ya kukidhoofisha chama. wanachama tunajua ili chama kiwe madhubuti ni lazima hatua madhubuti na maamuzi magumu yafanyike kudhihirisha ukomavu wake! sio hatua na maamuzi legelege yaliyo dhaifu tukitarajia kujenga chama madhubuti!
Wana JF, salaam
Wiki kadhaa zilizopita tuliandika habari ya kuhadharisha juu ya kufa kwa CHADEMA. Tuliandika kwa kina namna baadhi ya viongozi ndani ya CHADEMA na jumuiya zake, hasa BAVICHA wanavyojitahidi kukivuruga chama.
Tukaandika hadi maoni ya mhariri kuonya na kuhadharisha, lakini kwa bahati mbaya habari hiyo ilipokewa vibaya sana. Wapo waliodhani kuwa tumetumwa na CCM kuandika hayo tuliyoyaandika.
Lakini yanayoendelea ndani ya CHADEMA, na kilichoandikwa leo na Tanzania Daima, kinathibitisha tulichokiandika. Naomba wana CHADEMA na wapenda mageuzi wote kuwa wavumilivu kwa kusoma habari zinazowahusu kwa sababu kutoka humo watapata jambo la kuwasaidia.
Msimamo wetu ni kuwa na Upinzani imara na usiokuwa na vimelea vya waasi. Juhudi za kuikuza demokrasia nchini ni lazima ziende sambamba na kuambizana ukweli kwa sababu kulijua tatizo ni hatua moja ya kulipatia ufumbuzi.
Manyerere Jackton
Dar es Salaam
dah yaani mkuu nimesoma mara nne nne ulichokiandika hapa...BIG UP SANA...Niseme kuwa wewe ni moja ya watu wanaohitajika sana kwa jamii hasa yenye watu wanaoona mambo umbali si zaidi ya urefu wa pua zao...safi sana...KEEP IT UP
Hii nchi itakombolewa na wazalendo wachache wa aina yako" Keep it up"