Haya TPDC Oral Interview hiyo hapo

Haya TPDC Oral Interview hiyo hapo

danymTZ

JF-Expert Member
Joined
Jan 17, 2014
Posts
380
Reaction score
587
check kwenye website ya tpdc wametoa schedule ya oral interview. link hiyo hapo

http://www.tpdc-tz.com/Call for Oral Interview.pdf




Haya wadua wote mliofanikiwa kupita usahili wa kuandika yaani written interview. Soma ratiba ya Oral Interview itafanyika mikocheni. Nawatakia maandalizi mema. Kumbukeni ukitoa zile za security zote zilizobaki rejeeni katika kozi mlizosoma hasa 2nd na 3rd or 4th year.

Nawasilisha.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom