Haya tena mambo ya kiafrika afrika hayoooooooooooooo

mh hautanitibu,unatibu wakat unauza JF
leo nipo usingiziless
nmepata like yako wakat nlicoment nait kali.kaz njema
 
MziziMkavu kwangu mimi, binafsi yangu kama nipo siumwi wala sina nini mume wangu hawez akafanya kazi za kufua nguo kama hivyo. Binafsi nampongeza kwa kuona kuwa anapaswa kumsaidia mkewe na ametimiza wajibu huo.

Kwa huyu mwanamke Mungu na amuone asikae hata siku moja akamuumiza mumewe manake hakika ni upendo wa ajabu, tenaMungu ampe hekima sana aweze kutimiza wajibu wake kwa mumewe kama impasavyo. Mzee analinda dozi hapo chezeya mwanaume weye. usiku unafkr utamwambia unataka kimoja akuelewe lolest.
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…