condorezaraisi
JF-Expert Member
- Sep 4, 2011
- 225
- 116
Fungua ndoa yako,fungeni ndoa yenu wote watatu...
condorezaraisi, badouna feelings na X wako?
Huyo X wako mlisha fanya naye sex ?
Kama hujafanya naye sex sidhani kama shida.
Ndo mana vitabu vya dini vilikataza kufanya sex kabla ya ndo, hayo ndoa madhara yake, pole sana.
Wakati mwingine lazima kukubali matokeo tu!
Mwaache ex wako amuoe mdogo wako! ilimradi kama hakuna tatizo lingine
Make him your shemeji!!
Sina feelings zozote ila nishado na X na nilikuwa na uhusiano wa kishule shule kama 2 years
Nawaza hapa can i keep secret ? upande mwingine naona kama ni dhambi
Yup!
Keep it with you!
kwanini roho ikupasuke?? kama hamkuwahi kuvunja ile amri basi wacha waendelee ila kama mlishaivunja itabidi uvunje ukimya
Sina feelings zozote ila nishado na X na nilikuwa na uhusiano wa kishule shule kama 2 years
Nawaza hapa can i keep secret ? upande mwingine naona kama ni dhambi
Safi sana condorezaraisi, hapohuna tatizo kubwa. kama ungekuwa bado unam-feel, kungekuwa na tatizo. Acha dogo afunge naye ndoa. na kuhusu kutunza siri, fanya moja kati ya mambo mawili. Kama unadhani unataka kutubza siri na uwezo wako wa kufanya hivyoni mdogo, tafuta mshauri nasaha atakayekusaidia kujijenga kisaikolojia ili uweze kutunza siri na kama unaamini hautaweza, ni vema umweleze mdogo wako mapema kabla mambo hayajaenda mbali. Ukiacha akaja kugundua mwenyewe huko mbele ya safari, linaweza kuwa tatizo kwa sababu unatakiwa na wewe ujue yeye msimamo wake ni upi iwapo atabaini kuwa honey wake wa hivi sasa aliwahikuwa hoiney wako hapo 'kale'Sina feelings zozote ila nishado na X na nilikuwa na uhusiano wa kishule shule kama 2 years