Haya sio maksudi mazima wadada kututega ?


hili ndilo jibu la kuanzia mwaka 2012...naomba ruhusa yako nitumie jibu hili kwa wanaume wenzangu wenye complain za hivi!
 

bila kutegwa mnachelewa sana kuwapenda na umri unakwenda so mkitegwa ndo na mambo yanaenda faster!
 
We jifanye kama uko dukani tu unaangalia bidhaa zinazovutia wakati mfukoni huna senti.
 

translate uliyoyaandika kwa kijapan. Kiswahili huwa kinanipa shida.
 

Unatisha kaka....!
 
wanaenda na wakati ndo msemo wao siku hizi, tatizo lao hizo nguo wanazivaa kwenye public, mimi nikishauona ule mfereji wa wima akili inahama
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…