Kete Ngumu
JF-Expert Member
- Nov 21, 2014
- 6,661
- 6,910
Naona huyo mmoja kaonyesha mpaka mgongo wake lol hajielewi yaniDuuuh
Wenyewe wanaona kawaida kabisa. Hii ni safari ndefuNaona huyo mmoja kaonyesha mpaka mgongo wake lol hajielewi yani
Hawa lazima ni products za Arushambona amependeza tuu mimi naona kama yupo kiheshima zaidi kuliko
hawa ndio wavuta bagi kama kichwa cha news hii ulivyokiandika
Levictus, Ulishawahi kufika Arusha? Ukawaona vijana wake?Hawa lazima ni products za Arusha
Aiseee watu wana vituko sanambona amependeza tuu mimi naona kama yupo kiheshima zaidi kuliko
hawa ndio wavuta bagi kama kichwa cha news hii ulivyokiandika
Hawa watakuwa wanatiwa mbegu ili zioteHawa jee? Sijui watoto wetu wa kiume wana maradhi gani!!!
Bila kututaja mnashindwa kuhema sio, Msukuma na fassion wapi na wapi.Bwana huyo msukuma
mbona amependeza tuu mimi naona kama yupo kiheshima zaidi kuliko
hawa ndio wavuta bagi kama kichwa cha news hii ulivyokiandika
KUMBE KUNA AINA YA UVAAJI INAITWA BAGI...?Mleta mada Bagi anayo maanisha ni aina ya uvaaji sio Bangi
Yego mura unu!!oujiga bhanu go,bhatali bhajita bo goMjita huyo haina hata ubishi
Yego jaji waikaki mwanawasu
ukomee kochokocho
utakubonekana mumwisi ubonekana mungeta go!