Haya ni mapenzi au mahaba?

Mimi hapa sisikii sielewi kuhusu lowassa,i would better die for him.

Ccm has done a lot of irriperable demages to my life,just to mantion few walininyima mkopo huku nikiwa nimetimiza vigezo vyao vyote kusoma shule zote za serikali, kupata daraja walilokua wanataka na kua na uhitaji wa mkopo.

Nikastrugle mwenyewe kusoma chuo kikuu kwa gharama zangu katika hali ngumu sana , wakanisababishia madhara makubwa kisaikolojia.

Mbaya zaidi nikastrugle mwenyewe kusecure a job of my dream bado wananikata kodi kubwa sana hadi sina ham, nawapaje kura watu wapumbavu kama hao.
 

Pole sana sana. I can feel your pain as a parent. Nimesomesha kwa tabu pia naelewa ugumu uliopo, hasa mtoto anapokupigia "sina hata pesa ya maji leo..." Dear God, where are you hiding?
 

Pole sana ndugu.usihofu saa ya ukombozi imewadia.Tumchague LOWASA sasa atutoe kwenye mateso haya.
 
Huyo jamaa anaonesha ni ubunifu wake wa kupiga picha....ila anahitaji kuchunguzwa uwezo wake wa kufikiri kwani unatia mashaka!!!
 

Dont test the depth of the water by two feets!!! weka akiba ya maneno
 

irrepairable
damages
mention
struggle.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…