Haya ni mapenzi au kulogwa?

sifa zote tatu hana, ingawa sifikirii kuolewa zaidi ya kutafuta mtoto na baba ambaye ni responsible... Na ndomaana na sisitiza nitakuwa nimelogwa kwa nini kwako yeye mivumilie yote hayo? Ingawa nakiri panapo majambozi yuko vzr.
 
ni mwaka tangu nimeanza kuliona hilo lkn wapi, mpaka marafiki wakaribu wanasema ss so wakuingilia watakuwa wanabaki naaibu bure! Ni nn hiki?
 
Hajarogwa hata bali inaelekea jamaa kwenye mahaba na maufundi anakufikisha dunia ya tano. Hutakaa umuache hata siku moja!
 
utakuwa umelogwa ila nina dawa ya kutegua ili usimuwaze tena kwa mazuri..
 
sifa zote tatu hana, ingawa sifikirii kuolewa zaidi ya kutafuta mtoto na baba ambaye ni responsible... Na ndomaana na sisitiza nitakuwa nimelogwa kwa nini kwako yeye mivumilie yote hayo? Ingawa nakiri panapo majambozi yuko vzr.

aaah sentensi ya mwishon hapo inajieleza.
Kumbe unapewa shughuli ya ukwel ndo maana.
Bt ipo cku utamuacha tena utamchukia sana na kujuta kwa nn ulipoteza muda kuwa nae. Inatakiwa tu umpate anayeyajua mambo zaidi yake!

Mark my words.
 
Una maradhi ya utegemezi wa hisia mama tiba zipo,wala hujalogwa!
 
ni mwaka tangu nimeanza kuliona hilo lkn wapi, mpaka marafiki wakaribu wanasema ss so wakuingilia watakuwa wanabaki naaibu bure! Ni nn hiki?

It takes time... ilinichukua mwaka kuchukua hatua ya kuachana na ex baada
ya kungundua ananiburuta... ikanichukua almost two years moyo wangu
kukubali he is not worth it.... Namshukuru Mungu i survived...

Siwezi sema muache... haitasaidia, ila nakuhakikishia kua soon you will come to your senses...
 
siku akifa je? au akikuacha? wacha kuwa emotional dependant,,jiamini kuwa unaweza kuishi bila yeye,this world is a rough place....kuwa bold kuwa utaweza kuziface challenges za dunia bila yeye...
 
hujapata kuonja nje ukafikishwa cloud 9 na kumsahau huyo

au unaogopa kubaki bila kuwa na bwana kabisa

ila lazima anapata kitu toka kwako na ndio maana anakung'ang'ania au unampatia vitu mali kwa kutaka awe nawe na bado ana cheat which means he will continue na akipata mke ataondoka

kama unazani ni juju basi nenda kanisani ukasaliwe na mwabudu Mungu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…