Haya ni makombora gani?

Haya ni makombora gani?

Hizo ni ballistic ,wakiamua kutumia Nuclear hapa wa kuzuia kwa pande zote ...Hapo ngoma zilikuwa angani kwa masaa ila Israel mpaka apenye ndani ya anga ashambulie...Submarine wanetega somewhere halafu wanashoot tu
 
Mkuu wa Municipality ya Rishon Lezion anasema mnaya ona kwenye TV ni kidogo sana Missiles za Iran ni hatari sana.
 
Kuna watu leo ni furaha tuu.. kama Lucha leo
Kaacha mpaka kazi kwa furaha aliyonayo kuhusu hii vita ya iran na Israel
 
Mkuu wa Municipality ya Rishon Lezion anasema mnaya ona kwenye TV ni kidogo sana Missiles za Iran ni hatari sana.
Cha ajabu, Missiles za Israel zinaua huko Iran, lakini za Iran zikitua Israel hakuna vifo.
 
Back
Top Bottom