Hivyo ni vijiwe vya marble, kwa hali, size na shape hiyo havina thamani, ila likikatwa jiwe likatoa slab ya 2mx0.62mx0.18m na likawa well polished, linakuwa na thamani ya kati ya 150,000/= hadi 200,000/= sokoni
Wasikudanganye hao,hayo ni madin ya feldspar,..nishauza sana hayo kiwanda cha goodwill mkuranga,..yanauzwa kwa tani,..mfano mi nilikua nauza elf80 kwa tani,..sabab nilikua nayatoa karib na kiwandan,