Nashukuru Mkuu! So sifa ya High Quality ya hizo Quartz na Amethyst ni ipi?Hapo kuna Quartz (Crystal clear) hayo meupe kabisa na pia kuna Amethyst (Ha yenye rangi ya zambarau) ambayo haijafikia kiwango chake
Huo mzigo ulionao hauna thamani, endelea kuchimba
Hayo ni white QUARTZ, Crystal shape. kama moja lina kuanzia nusu kilo ni biashara, kama jiwe moja lina kilo 1 bei ya mwaka 2012 wkt nayachimbaa ilikuwa tsh 20000, likiwa na kilo nyingi ndivyo na bei iazidi kuwa juu, ilimradi yawe clear kiasi kwamba unaweza kusoma gazeti ukiweka juu yake. Kama yako makubwa makubwa uniambie uko mkoa gani ili nikutafutie soko
Hayo uliyouza laki 7 tani ni high capshon sio quartz clear, zikiwa clear na yenye ukubwa Wa kuanzia kilo moja bei inaanzia tsh 20000, Mimi Nina mgodi Wa guartz ya mapande(block) handeni. Capshon zake nilikuwa nauza 250000 kwa tani.Kilo moja 20,000? Hapana kiongozi fana thaman ndogo sana kuliko hiyo. Nimechimba sana hayo madude Gairo pale. Tani moja ilikuwa inauzwa laki 7. Tena hiyo gharama ni ya mwaka 2013.
Nimeshayabeba Mkuu! Nimekuta na madini mengine yana rangi ya kijani na Zambarau hivi, yenyewe yana ukubwa kama wa Kokoto.
Ya aina hii
Nimekusoma mkuu! Baadaye ntaweka picha ya hayo Madini mengine....then ntasikia toka kwako...
Yakiiva vizuri yanakuwa kama yamechongwa. Yanang'aa sana. Maeneo uliyoyapata kutakuwa na madini ya almas japo si lazima.
Sure Mkuu! Nnayo kama hayo, hivyo hivyo, japo yangu mengine ni Makubwa, rangi na hiyo japo nyingine imekoza.Kama ni ya aina hii basi hiyo itakuwa ni Amethyst, na ndio maana nilikwambia kwenye sample zako naona zipo Amethyst ambazo hazijakoza rangi yake ya dhambarau
View attachment 530912
Ni Amethyst hizo, zikiwa nzuri zinauzika, unazitoa Tanga nini?Ni tofauti na haya, yenyewe ni mawe size ya kokoto pia yanakua na ukubwa mpaka wa 1 kg..
Rangi ni Zambarau iloiva, sometimes inakua light purple n.k..
Soon ntaweka picha!
Tanga Mkuu! Soko lake lipo Tanzania? Na unajua chochote kuhusu Price?
Hayo uliyouza laki 7 tani ni high capshon sio quartz clear, zikiwa clear na yenye ukubwa Wa kuanzia kilo moja bei inaanzia tsh 20000, Mimi Nina mgodi Wa guartz ya mapande(block) handeni. Capshon zake nilikuwa nauza 250000 kwa tani.
Habari zako naitwa Emmanuel,, ni mfanyaji bihashara wa madini katika ununuzi na usambazaji.ni matumaini yangu kuweza Fanya bihashara na weweView attachment 530944 View attachment 530945 View attachment 530946 View attachment 530947
Wakuu hii ndo aina nyingine ya Madini niliyonayo, na kwa Comments za wengi hapo juu, nadhani hii ndo Amethyst!
Nipo sahihi!???
..Nimeshindwa kuyaosha vizuri, nimetoa tu Vumbi na mengine niliyapasua kuona ndani kukoje!!