Kwa mjuzi wa madini aniambie haya ni madini gani na thamani yake ikoje mana kuna Wachina wanayachimba kwa wingi sna hapa nchini na kuyapeleka kwao. Yaweza kuwa fursa kwa wazawa pia kama tukijua thamani yake na masoko yake duniani.
Amethyst hyo mkuu...ni family moja na madini aina ya quartz na citrine...yameundwa hasa na silica..upatikanaji wake ni kwa wingi syo rare kama gemstone nyingine,density yake ni 2.65g/cm3,rangi ni purple
Hope hayo maelezo mafupi yatakuwa ni msaada
Amwthyst ikiwa clear,rangi Nzuri,Haina mipasuko,Haina moshi ndani grm moja ni zaidi ya tsh 2000,ina maana kilo ni zaidi ya mln mbili
Yangu nliyoipost ni caboshon Ila zina rangi Nzuri kilo moja ni 50000/ n'a zimetoka Rwanda

Yakiwa mazuri yanauzika Wakati wowote,Labda TU itoke order zake kutokiwepo kwA Wakati fulani,ambacho hicho kitu kwA biashara ya mawe ni kitu cha kawaida.....