Haya ni madini gani?

Vieloon

JF-Expert Member
Joined
May 5, 2012
Posts
1,520
Reaction score
695
Bandugu wana JF,

Natumai wote mu wazima kuna haya makitu nimeyakuta sehemu yanazagaa zagaa, naomba kuuliza ni madini gani.
 
Hayo ni madini japo sijui aina yake., Ila Kwa sasa wabongo wenzio watakwambia Hayana dili, yaifadhi wakiyapata wachina au wazungu ndiyo utasikia thamani yake kiongozi. Nadhani hata Kama ungelikuwa ndiyo umeokota dhahabu Kwa kuwa hatujuwi dhamani au kazi ya kitu hicho kibongo bongo ni ungeambiwa hayana dili.
 
Rodlite iyo apo nyekundu, haina soko bei chee
 
Asikudanganye mtu hakuna madini yasiokua na soko duniani
Nenda maabara fanya identification watakupa cerificate na estimated price kwa gharama nafuu sana
Contact 0767334778
For help
 
Hiyo nyekundu ni Rhodolite au rose garnet na kijani ni sapphire.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…