Kama nilivyokuambia kazi yake kubwa hutumika kuyatakasa mawe mengine hivyo ni mpaka mtu ajue kazi yake ndo anunue ila ninavyojua hayana thamani sana labda liwe kubwa kama parachichi au embe ndo unaweza pata 20,000/ ili mtu atumie kama pambo la mezani,lakini pia ukiliweka ndani husafisha nyumba na chumba kwa kuondoa negative energies zote pia kukuongea vibrations zako na kukufanya mwenye furaha,pia hukuongezea uwezo wako kufikiri vizuri.