haya ndo mandhari ya same boys high school , for more info valencevictor@ymail.com

Dah! hicho kitaa mie nilikipitia miaka ya 70 wakati ule Same ikiwa at top 10 kwenye performance. Miaka hiyo mambo yalikuwa poa sana.
 
i waz @ hurry xo i hve 2 write like dat infact ngeli napiga and dat z my subject na pia naomba utambue kuwa hapa tunachokihataji ni kuwa semantical straight foward ka unafatilia grammar utajiju bye!
Haaa.... utajiju..?? Haya ni madhara ya wanaume kushinda kibarazani na dada zao
 
I was there 1994--97. Wakati ule Headmaster ni Msuya akamwachia Mtera, discipline master alikua Mziray aka Kidudu mtu mwalimu alikua mkali huyu.
Alikua akinikuta mjini Same ananichunia wakati huo nimetoroka jumamosi akawa anamfata rafiki yangu anampa adhabu kumbe amemfananisha na mimi.
Shule ilikua tamu sana
 
Mlikua mnaenda mjini kucheki video.au video hazikuwepo.Nlisoma 1999-2002
 
mkuu ata Mimi nilipata bahati ya kusoma hapo,nimepanda sana kwakoko na kwenda masandare achilia mbali kwenda kwenye kuni na ile ndinga ya shule,unakumbuka shida ya maji pale same?
vipi kiwanja?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…