Maisha yanazidi kuwa magumu hasa kwa sekta ya elimu,wizara ambayo wafanyakazi wake hasa walimu wanalipwa kima kidogo cha mshahara!,ninajiuliza kwa nini malimbikizo ya mishahara na madaraja hayalipwi kwa wakati nani wa kulaumiwa? musoma vijijini madai yetu yamekuwa sugu! hali ni tete!
Pole sana ndugu zangu walimu, si nyinyi tu mtesekao na matokeo ya utawala mbovu wa ccm ni watanzania wengi wa kada ya chini.
Ushauri wa bure kwa walimu.
2015 kwenye uchaguzi malizieni hasira zenu huko. Hakikisheni mnaizamisha meli ya ccm mtakaposhirikishwa na watakapo hitaji huduma zenu.
aaaah!!kwahiyo chama kingine wakikichagua ndo kitawalipa mamilion???
Kuhusu mishahara duni kila mtumishi wa umma analalamka maslahi ni duni,si walimu tu jaman!!!
Muhimu ni udhibiti wa mfumuko wa bei,serikali imeshindwa kudhibiti bei!
Na kuhusu malimbikizo na madai yaan kila mtumishi wa umma anaidai serikali,sio walimu tu jaman!!!
Maisha yanazidi kuwa magumu hasa kwa sekta ya elimu,wizara ambayo wafanyakazi wake hasa walimu wanalipwa kima kidogo cha mshahara!,ninajiuliza kwa nini malimbikizo ya mishahara na madaraja hayalipwi kwa wakati nani wa kulaumiwa? musoma vijijini madai yetu yamekuwa sugu! hali ni tete!
Tunahitaji kuliita jembe kwa jina lake halisi.
Tunahitaji kuishuhudia kauli ya maisha bora kwa kila mtanzania kwa vitendo sio majukwaani na kwa propaganda.
Kwanini iwe kwetu walalhoi tu wala sio kwao na familia zao, yatupasa kuchukuwa hatua kwa yeyote anayetulaghai.
aaaah!!kwahiyo chama kingine wakikichagua ndo kitawalipa mamilion???
Kuhusu mishahara duni kila mtumishi wa umma analalamka maslahi ni duni,si walimu tu jaman!!!
Mkuu,kima kidogo cha mshahara hakitolewi kwa walimu tu bana,watumish wote wa umma mishahara yao ni midogo na haikidhi mahitaji!!
Kwa taarifa yako tu,kwa watumishi wenye degree ya miaka 3 ni walim ndio wenye mshahara mkubwa kuwazidi maafisa wengine km afisa utumishi,afisa aendeleo ya jamii,nk!!
Mwalim mwenye degree anaanza na salary scale ya TGTS-D(532,000) wkt watumishi wengine wenye degree nyingine za miaka 3 km afisa utumishi,afisa maendeleo ya jami,afisa tarafa,weo nk hawa wanaanza na TGS D(511,400) sasa hapo nani ana mshahara mkubwa???
Au mnavyosikia wanaitwa maafisa mnadhan wanalipwa mamilion???
mkuu mwl hana posho, mchongo wa kando wala marupurupu.,,tofauti na hao wengine wanabonda sana hela za miradi
Nashukuru kwa michango yenu,