Mugabe one
JF-Expert Member
- Nov 15, 2016
- 2,327
- 1,684
Mulize mzee Sianga ndiye mtaalam wa kupambana na matuzi ya weeds.Wanajf nawaomba mnisaidie nahitaji ufafanuzi nielewe maana ya maneno yafuatayo:
Mfano mtangazaji wa TV au radio, au gazeti anasema Mbowe amekamatwa na madawa ya kulevya:
1.Misokoto 500
2.Kete 500
3.Puli 500
Nahitaji hayo misokoto,kete,puli tu.
Msokoto:Wanajf nawaomba mnisaidie nahitaji ufafanuzi nielewe maana ya maneno yafuatayo:
Mfano mtangazaji wa TV au radio, au gazeti anasema Mbowe amekamatwa na madawa ya kulevya:
1.Misokoto 500
2.Kete 500
3.Puli 500
Nahitaji hayo misokoto,kete,puli tu.
Kwa nini umetumia jina MboweWanajf nawaomba mnisaidie nahitaji ufafanuzi nielewe maana ya maneno yafuatayo:
Mfano mtangazaji wa TV au radio, au gazeti anasema Mbowe amekamatwa na madawa ya kulevya:
1.Misokoto 500
2.Kete 500
3.Puli 500
Nahitaji hayo misokoto,kete,puli tu.
Tukutane sentero jumatatu saa 3 asubuhiMsokoto:
Ni ile ambayo imeandaliwa kama sigara tayari kwa matumizi.
Kete:
Hii ni ile ambayo imefanyiwa processing ya kwanza kutoka kwenye puli na kufungwa katika kifungu kidogo tayari kuingizwa sokoni ambacho baadae ndo hutengenezwa kuwa kete.
Puli:
Hii ni ile ambayo fresh from shamba yaani ni baada tu ya kuvunwa na kukaushwa. Ni kama vile unavyoona mpunga kabla haujaondolewa kwenye majani.
Asante sana mkuu kwa ufafanuzi wako huo!Msokoto:
Ni ile ambayo imeandaliwa kama sigara tayari kwa matumizi.
Kete:
Hii ni ile ambayo imefanyiwa processing ya kwanza kutoka kwenye puli na kufungwa katika kifungu kidogo tayari kuingizwa sokoni ambacho baadae ndo hutengenezwa kuwa kete.
Puli:
Hii ni ile ambayo fresh from shamba yaani ni baada tu ya kuvunwa na kukaushwa. Ni kama vile unavyoona mpunga kabla haujaondolewa kwenye majani.
Mkuu ni jina ambalo halikuleta usumbufu katika kudokoa herufi zake. Hilo ulilotaja wewe ni refu sana.Kwa nini umetumia jina Mbowe
Hakuona jina lingine kwa nini usingetumia
Jina kama Polepole
Nape je.!?Mkuu ni jina ambalo halikuleta usumbufu katika kudokoa herufi zake. Hilo ulilotaja wewe ni refu sana.
Aah, nililisahau hilo tena ni fupi sana ila la Mbowe ni zuri zaidi ktk kulitamka kuendana na hoja ya msingi.Nape je.!?
Sawa mkuuAah, nililisahau hilo tena ni fupi sana ila la Mbowe ni zuri zaidi ktk kulitamka kuendana na hoja ya msingi.