Sawa But sidhani kama ni suluhu,,,,Assume akapewa hilo tako....
Kutokuwa karibu na mtu sio lazima muwe maadui,,, Jamaa anatakiwa aweke Boundaries,,,na asimamie hio mipaka yake,,,,,hao ndugu watakaa tu katika misingi yake....hakuna ulazima wa uadui na watu mlioishi nao vizuri....