Haya mambo ya Kutekana yalianza awamu ya nne, wakati wa mzee Mkapa hayakuwepo

Haya mambo yakiendelea kuna siku raia nao watachoka na hivyo kuanza kujibu mashambulizi. Na huo ndiyo utakua mwanzo wa uasi ndani ya nchi!

Ni bora wanao husika, wakaachana na huu uhuni, maana kuna njia nyingi sahihi za kutumia kwenye ujenzi wa Taifa moja, badala ya hizi za kutisha na kujenga hofu kwa wananchi. Kwa nini umtese, umuue, umdhalilishe binadamu mwenzako! kisa madaraka!!!
Hawatekwi wengi wao wanaingiza kutekwa, na vyombo vya usalama vina haki yakumshilikia Raia yoyote yule wakimshuku au hakivunja sheria za nchi haijarishi anafanya kazi taasisi zaki Raia au zaki serikali, yani sikuizi mtu hakishikiliwa na polisi au takukuru, ndiyo wandishi wa habar au baadhi ya wana siasa njaa wanavumisha kutekwa,
Akuna mtu anayetekwa na kupelekwa mahakani, kama ni ivyo basi kila lisaa wa Tanzania wanatekwa maana baadhi ya wa Tanzania wengi tu wanashikiliwa na polisi kisha wanapelekwa mahakamani chakushangaza wahandish hawayasemi wala kuya handika lakin wakishikiliwa watu walio ajiriwa taasisi za binafs watatangaza dunia nzima watajua
Kwaiyo wa Tanzania tubadirike tusiishi kwa mazoe ya awamu zilizo pita
Baadhi ya watu walikuwa awagusiki.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tatizo la baadhi ya vyombo vya dola kama polisi ni kutofuata sheria kwa makusudi za ukamataji na pia uhifadhi wa watuhumiwa.

Hakuna sababu ya kumkamata mtu katika mazingira ambayo siyo sahihi na pia kumshikilia mtuhumiwa zaidi ya masaa 24 kinyume na utaratibu, nk. Ndivyo vitu vinavyoleta taharuki zisizo na sababu.

Mfano huyo mfanyakazi wa Kituo cha Haki za Binadamu (Tito Magoti), kulikuwa na sababu gani ya kumkamata kama gaidi! huku anuani ya makazi yake ikijulikana, anakofanyia kazi kunajulikana, nk!
 
Tatizo lililopo ni wanao jihita watetezi wa haki zabinadam kudiliki kutetea baadhi ya Raia nakuwaona Raia wengine hawana haki yakibinadam, yani wahandishi wa habari na taasisi kubwa binafsi, wanatabia yakujitetea wao tu na baadhi ya wanasiasa, alafu waandishi wa habar wanataka kutuhaminisha wao kama wao ni malaika hawafanyi makosa yoyote yakijinai, lazima wajue wakifanya makosa lazina serikali hiwashugulikie kwa mujibu wa Sheri.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Haya ya " fulani" katekwa na kuokotwa eneo fulani yalianza kusikika kwa uwazi katika serikali ya awamu ya 4.

Ndipo tulisikia Rais wa wanafunzi pale Muhimbili katekwa na kutupwa Mabwepande......mara Kubenea kamwagiwa tindikali.....mara mwandishi Kubanda katekwa na kung'olewa jicho nk nk.

Nimuombe Mungu wa mbinguni aturehemu waja wake tuondokane na hii hofu maana mtu akikamatwa kwa uchunguzi fulani raia wasikimbilie kusema katekwa maana inawaumiza na kuwatesa wanafamilia.

Ni hayo kwa uchache.

Maendeleo hayana vyama!
Mzee Nyerere alikuwa sahihi aliposema ukila nyama ya mtu huwezi kuacha utaendelea tu. Huko kwa mzee Mkapa ndio waliko anzia siri hiyo ndio tumeijua juzi walikuwa wakimalizana wenyewe kwa wenyewe kwa kunyweshana sumu. Walipoona utaratibu huo utaleza zogo kwa vifo vya ghafla na vyenye kufanana ndio wakabadilisha mbinu wakaja na wasiojulikana. Lakini ki ukweli ni kwamba wote ndio hao hao wanachofanya nikubadilisha mbinu tu.
 
Hawatekwi wengi wao wanaingiza kutekwa, na vyombo vya usalama vina haki yakumshilikia Raia yoyote yule wakimshuku au hakivunja sheria za nchi haijarishi anafanya kazi taasisi zaki Raia au zaki serikali, yani sikuizi mtu hakishikiliwa na polisi au takukuru, ndiyo wandishi wa habar au baadhi ya wana siasa njaa wanavumisha kutekwa,
Akuna mtu anayetekwa na kupelekwa mahakani, kama ni ivyo basi kila lisaa wa Tanzania wanatekwa maana baadhi ya wa Tanzania wengi tu wanashikiliwa na polisi kisha wanapelekwa mahakamani chakushangaza wahandish hawayasemi wala kuya handika lakin wakishikiliwa watu walio ajiriwa taasisi za binafs watatangaza dunia nzima watajua
Kwaiyo wa Tanzania tubadirike tusiishi kwa mazoe ya awamu zilizo pita
Baadhi ya watu walikuwa awagusiki.

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu nakushauri tu rudi Shule ujifunze jinsi ya kuandika kwa ufasaha.
 
Mzee Nyerere alikuwa sahihi aliposema ukila nyama ya mtu huwezi kuacha utaendelea tu. Huko kwa mzee Mkapa ndio waliko anzia siri hiyo ndio tumeijua juzi walikuwa wakimalizana wenyewe kwa wenyewe kwa kunyweshana sumu. Walipoona utaratibu huo utaleza zogo kwa vifo vya ghafla na vyenye kufanana ndio wakabadilisha mbinu wakaja na wasiojulikana. Lakini ki ukweli ni kwamba wote ndio hao hao wanachofanya nikubadilisha mbinu tu.
Mkuu una uhakika?!
 
Lowasa alucheza rafu sana, suala la kubenea, Mwakyembe nk 100% Lowasa alihusika.
Huyu ni mtu hatari sana ukigusa maslahi yake japo ame win akili za maskini wengi kwa kuwapofusha kwa vijisenti alivyokuwa akihonga makanisani, misikitini, halmashauri na uvccm.
Narudia, Lowasa alicheza rafu nyingi na rafiki yake Kikwete
Haya ya " fulani" katekwa na kuokotwa eneo fulani yalianza kusikika kwa uwazi katika serikali ya awamu ya 4.

Ndipo tulisikia Rais wa wanafunzi pale Muhimbili katekwa na kutupwa Mabwepande......mara Kubenea kamwagiwa tindikali.....mara mwandishi Kubanda katekwa na kung'olewa jicho nk nk.

Nimuombe Mungu wa mbinguni aturehemu waja wake tuondokane na hii hofu maana mtu akikamatwa kwa uchunguzi fulani raia wasikimbilie kusema katekwa maana inawaumiza na kuwatesa wanafamilia.

Ni hayo kwa uchache.

Maendeleo hayana vyama!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Haya mambo yakiendelea kuna siku raia nao watachoka na hivyo kuanza kujibu mashambulizi. Na huo ndiyo utakua mwanzo wa uasi ndani ya nchi!

Ni bora wanao husika, wakaachana na huu uhuni, maana kuna njia nyingi sahihi za kutumia kwenye ujenzi wa Taifa moja, badala ya hizi za kutisha na kujenga hofu kwa wananchi. Kwa nini umtese, umuue, umdhalilishe binadamu mwenzako! kisa madaraka!!!
raia hamjawahi kuchoka, huwa mnapiga mayowe tu bila action. hizi ni kauli za kujifariji, unaposema watakuja kuchoka inamaana ww unajitoa, sasa unafikiri nani atachoka kwa ajili yako, anza kuchoka ww watu wafate
 
Back
Top Bottom