johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 83,978
- 141,995
Sema labda yalipumzika lkn yalianzia kipindi cha Mwalimu Nyerere.
Haya ya " fulani" katekwa na kuokotwa eneo fulani yalianza kusikika kwa uwazi katika serikali ya awamu ya 4.
Ndipo tulisikia Rais wa wanafunzi pale Muhimbili katekwa na kutupwa Mabwepande......mara Kubenea kamwagiwa tindikali.....mara mwandishi Kubanda katekwa na kung'olewa jicho nk nk.
Nimuombe Mungu wa mbinguni aturehemu waja wake tuondokane na hii hofu maana mtu akikamatwa kwa uchunguzi fulani raia wasikimbilie kusema katekwa maana inawaumiza na kuwatesa wanafamilia.
Ni hayo kwa uchache.
Maendeleo hayana vyama!
Ndio maana sasa mmeanza kwa super sonic speed baada ya mapumziko ya muda mrefu....Zitto mtamteka lini?
Sent using Jamii Forums mobile app
Ndio maana sasa mmeanza kwa super sonic speed baada ya mapumziko ya muda mrefu....Zitto mtamteka lini?
Sent using Jamii Forums mobile app
Kama yule mmiliki wa wekundu wa msimbazi....alienda mwenyewe hadi hotelini kuwapigia simu wazazi wake wakamchukue!Kwa sasa nadhani wanashikiliwa tu siyo kutekwa.
To me Dr Uli ndo naweza sema yes alitekwa kweli kule kutekwa nakokujua mimi.
Leo hii Mtu anapatikana hana hata mchubuko hana hata njaa wala kiu ana nguvu zake hadi za ku-tweet na hawezi hata kusema nini kimetokea zaidi ya blah blah!
Haya ya " fulani" katekwa na kuokotwa eneo fulani yalianza kusikika kwa uwazi katika serikali ya awamu ya 4.
Ndipo tulisikia Rais wa wanafunzi pale Muhimbili katekwa na kutupwa Mabwepande......mara Kubenea kamwagiwa tindikali.....mara mwandishi Kubanda katekwa na kung'olewa jicho nk nk.
Nimuombe Mungu wa mbinguni aturehemu waja wake tuondokane na hii hofu maana mtu akikamatwa kwa uchunguzi fulani raia wasikimbilie kusema katekwa maana inawaumiza na kuwatesa wanafamilia.
Ni hayo kwa uchache.
Maendeleo hayana vyama!
Sikumbuki watu kutekwa wakati wa Nyerere zaidi ya kusoma mambo ya utekaji kwenye vitabu vya Elvis Musiba staring akiwa Willy Gamba.Sema labda yalipumzika lkn yalianzia kipindi cha Mwalimu Nyerere.
Sikumbuki watu kutekwa wakati wa Nyerere zaidi ya kusoma mambo ya utekaji kwenye vitabu vya Elvis Musiba staring akiwa Willy Gamba.
Ninachokumbuka ni watu kuwekwa kizuizini!
Kawaida ya nini?
Kumbuka naye alikuwa na kasoro zilizopelekea wapinzani wake kumuona hakufa kuwa rais.Kwangu mimi Ben Mkapa ndio rais bora kabisa, sijui lini tutampata mwingine kama yeye, alipikwa na mfumo akapikika.
Sema labda yalipumzika lkn yalianzia kipindi cha Mwalimu Nyerere.
Ingekuwa hivyo Hans wa Simba asingekuwepo leo!Kwa kuwa tu haukumbuki haimanishi haikuwepo na sio tu walitekwa waliluliwa na wengine kufukuzwa nchi waliozaliwa na kuishi uhamishoni mmojawapo Munishi.
Ingekuwa hivyo Hans wa Simba asingekuwepo leo!