Ni dekoda ambayo unaweza ukatumia sim card na ukawa unaangalia dstv bila kulipia,wewe ni kujiunga kifurushi tu cha mwezi...anaejua vinapopatikana atujuze...kinaitwa hawk ni producct ya china.

Microsoft wenyewe wanaibiwa windows sembuse dstv,,, kuna sehemu nilienda jamaa wanaiba mpaka skysport hd ile yenyewe kabisa inayomuuzia matangazo dstv,,, jamaa anakula skysport moja kwa moja for freee, startimes, zuku sijui uchafu gani ye ana mtambo wake huo akielekeza tu kwenye signals ya kingamuzi unafungua channels..
Chezea wabongo nini halafu nilipochoka jamaa yupo mlandizi huko ndani ndani lakini analamba channels kama hana akili nzuri
Ni dekoda ambayo unaweza ukatumia sim card na ukawa unaangalia dstv bila kulipia,wewe ni kujiunga kifurushi tu cha mwezi...anaejua vinapopatikana atujuze...kinaitwa hawk ni producct ya china.
mie niko nchini botswana! hizo decoder ziko za kumwaga! kama unadeal la uhakika na wateja nistue kwa hii namba +267 73216600! tuwasiliane tufanye biashara!