Hawavai shanga!!..

Hawavai shanga!!..

Smokey D

JF-Expert Member
Joined
Jan 30, 2013
Posts
2,632
Reaction score
2,114
Cheki watoto wa Tz walivyo haribika: waziri wa miundombinu John Pombe Magufuli alifanya mkutano jjni Mwanza akasema mtu yeyote akijenga pembeni mwa barabara nyumba yake tutamwekea X akashangaa watoto wanashangilia kwa furaha, akakaita katoto kamoja akakauliza mbona mnafurahi? kakamjbu bora ulete X za kiswahli 2mechoka za kizungu ambazo hata shanga hawavai watu wote pa pa pa paaaa wakampgia kale katoto makofi'
 
we boya kwel we ss tunajua unaongea ya maana kumbe pumba km ulivyokuwa ww mp....!
 
Cheki watoto wa Tz walivyo haribika: waziri wa miundombinu John Pombe Magufuli alifanya mkutano jjni Mwanza akasema mtu yeyote akijenga pembeni mwa barabara nyumba yake tutamwekea "X" akashangaa watoto wanashangilia kwa furaha, akakaita katoto kamoja akakauliza mbona mnafurahi? kakamjbu bora ulete X za kiswahli 2mechoka za kizungu ambazo hata shanga hawavai watu wote pa pa pa paaaa wakampgia kale katoto makofi'
Ingekuwa ni mimi ndo naandika hii joke,nisengeweka hayo maneno niliyobold kwa sababu: Yanapunguza utamu wa joke! Got me?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom