JERUSALEMU
JF-Expert Member
- Sep 19, 2012
- 3,112
- 3,536
Salamu wanajamvi!
Naam! Ndivyo unavyo weza kusema ! Wanao ona fahari kuwa wanachama wa CCM wamepungua sana tena sana. Wanao vaa magwanda ya kijani na njano wamekuwa adimu sana mitaani.siku hizi wanao lalamikia ugumu wa maisha wengi wao ni CCM! Mwenyekiti kawachanganya wamechanganyikiwa. Hawajui la kweli ni lipi na lenye mashaka ni lipi.Njia wanayo ifuata haijanyooka hata kidogo.
Mwenyekiti hana simle, anatamani kila mtu awe masikini! Lakini wanao mjua wali wana tahadhari, hawakusikia la mtu, sasa miguu imewaota tende.Namba tunazisoma.mtawala amekusudia kututia umasikini pamoja na wao walio mwimbia nyimbo maridhawa kuwa wapinzani wataisoma namba!
Mambo waliyo yapigania miaka mingi yametoweka. Ukabila , kupendeleana na kufahamiana kumeshamiri.Kama Nape katumbuliwa, Sophia Simba kafyekwa, nani yupo salama? Uvae sare za kijani na njano kwa kujiamini na nini? Wewe Bashite? Ndio maana siwaoni wakiwa wamevaa!!! Tukutane 2020.