Hawakuwahi kujua kama LISSU ni mtu anayependwa na Watanzania kwa kiwango kikubwa hivi!

Amina
 
Wewe utakuwa unasumbuliwa na upungufu wa kiakili. Tumuombee Mh. Lisu uponaji wa haraka. Mungu akulaani wewe unayetumia kuumia kwa Mh. Lisu kama mtaji.
 

Umebwabwaja tu na wala sijaona point pamoja na kwamba umeandika maelezo mengi! nilichogundua tu ni kama na wewe ni mingoni mwa lile kundi lililotegemea Lissu must dead. Haijalishi vyovyote vile but Lissu is alive. Hata kama dola mtashangilia lakini sisi wenye akili tunajua uhai Wa mtu ni pumzi regardless kuwa unaweza kuwa unapumua ila hauna miguu, mikono, macho n.k
 
Get well soon Mnyampaa Lisu
 
Lakini pia wadharau mamlaka wengi wamepata funzo..kila mtu saa hizi fyatuu

Kwani na wewe umeamini mamlaka inahusika?

lakini hiyo fyatu sijaiona maana Mbowe kawachana kuwa nyie ndo mnahusika, Msigwa kawachana, Heche kawachana, Lena kawachana! au unataka nini zaidi
 
Wewe utakuwa unasumbuliwa na upungufu wa kiakili. Tumuombee Mh. Lisu uponaji wa haraka. Mungu akulaani wewe unayetumia kuumia kwa Mh. Lisu kama mtaji.

Mwenyekiti akikusikia utaitwa kuhojiwa! Nyarandu kahojiwa kisa tu kaenda kumpoa pole Lissu, sasa wewe naye ni mwanaccm umepewa kibari na nani hadi umuombee Lissu?
 
Na hiki ndicho walichokuwa wanataka!

Badala ya kujadili mijadala anayoibua Lisu, sasa tunamjadili yeye kitu ambacho hakina faida yeyote kwa nchi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…