(Qur'an 4:157–158)"Na kwa kusema kwao: Sisi tumemwua Masihi Isa mwana wa Maryamu, Mtume wa Mwenyezi Mungu – hali ya kuwa hawakumwua wala hawakumsulubu, bali walifanana naye tu. Na hakika wale walio khitalifiana juu yake bila ya yakini ndani yake. Hawana ilimu ya yakini juu ya hilo ila wanafuata dhana tu. Wala hawakumwua kwa yakini. Bali Mwenyezi Mungu alimnyanyua kwake. Na alikuwa Mwenyezi Mungu ni Mwenye nguvu, Mwenye hikima."
(Qur’an 3:42)"Na (kumbuka) Malaika waliposema: Ewe Maryamu! Hakika Mwenyezi Mungu amekuchagua, na akakutakasa, na akakuchagua juu ya wanawake wa walimwengu wote."
Kwahiyo maandiko yenu yanakiri Hadi mtume wenu anakiri kwamba Yesu Kristo Yu hai nae ameketi mkono wa kuume wa Mwenyezi huko juu mbinguni?Aya inayozungumzia hili ipo katika Surat An-Nisa (4:157–158):
(Qur'an 4:157–158)
Maana yake katika Uislamu:
1. Yesu hakuuliwa msalabani: Waislamu wanaamini kuwa haikuwa Yesu aliyesulubiwa, bali mtu mwingine aliyetwishwa sura yake akasulubiwa badala yake.
2. Yesu alinyanyuliwa mbinguni: Mungu alimwokoa Yesu na akamwinua juu, na ataendelea kuishi hadi atakaporudi tena duniani kabla ya Siku ya Kiyama.
MAMA YAKE
na Maryamu binti Imran, aliyehifadhi utu wake, tukampulizia ndani yake kutokana na roho yetu, na akayasadiki maneno ya Mola wake na vitabu vyake, na alikuwa miongoni mwa watiifu."
(Qur’an 66:12)
Maryam alikuwa mwenye uchamungu, mtii wa hali ya juu kwa Mwenyezi Mungu.
Alichaguliwa juu ya wanawake wote
(Qur’an 3:42)
Hawakumuua wala kumsulubuKwahiyo maandiko yenu yanakiri Hadi mtume wenu anakiri kwamba Yesu Kristo Yu hai nae ameketi mkono wa kuume wa Mwenyezi huko juu mbinguni?
Hallelujah!!
Jiliwaze mwaya🤣Hawakumuua wala kumsulubu
According to Quran ambayo iliandikwa miaka mingi baada ya UkristoAya inayozungumzia hili ipo katika Surat An-Nisa (4:157–158):
(Qur'an 4:157–158)
Maana yake katika Uislamu:
1. Yesu hakuuliwa msalabani: Waislamu wanaamini kuwa haikuwa Yesu aliyesulubiwa, bali mtu mwingine aliyetwishwa sura yake akasulubiwa badala yake.
2. Yesu alinyanyuliwa mbinguni: Mungu alimwokoa Yesu na akamwinua juu, na ataendelea kuishi hadi atakaporudi tena duniani kabla ya Siku ya Kiyama.
MAMA YAKE
na Maryamu binti Imran, aliyehifadhi utu wake, tukampulizia ndani yake kutokana na roho yetu, na akayasadiki maneno ya Mola wake na vitabu vyake, na alikuwa miongoni mwa watiifu."
(Qur’an 66:12)
Maryam alikuwa mwenye uchamungu, mtii wa hali ya juu kwa Mwenyezi Mungu.
Alichaguliwa juu ya wanawake wote
(Qur’an 3:42)
Kwahiyo ni kweli kuwa Kuna mtu alisulubiwa siyo?According to Quran ambayo iliandikwa miaka mingi baada ya Ukristo
Kwahiyo Mungu alimwadhimisha mno, akamkirimia jina lipitalo kila jina.Aya inayozungumzia hili ipo katika Surat An-Nisa (4:157–158):
(Qur'an 4:157–158)
Maana yake katika Uislamu:
1. Yesu hakuuliwa msalabani: Waislamu wanaamini kuwa haikuwa Yesu aliyesulubiwa, bali mtu mwingine aliyetwishwa sura yake akasulubiwa badala yake.
2. Yesu alinyanyuliwa mbinguni: Mungu alimwokoa Yesu na akamwinua juu, na ataendelea kuishi hadi atakaporudi tena duniani kabla ya Siku ya Kiyama.
MAMA YAKE
na Maryamu binti Imran, aliyehifadhi utu wake, tukampulizia ndani yake kutokana na roho yetu, na akayasadiki maneno ya Mola wake na vitabu vyake, na alikuwa miongoni mwa watiifu."
(Qur’an 66:12)
Maryam alikuwa mwenye uchamungu, mtii wa hali ya juu kwa Mwenyezi Mungu.
Alichaguliwa juu ya wanawake wote
(Qur’an 3:42)
Issa na Yesu ni habari mbili tofauti kabisaAya inayozungumzia hili ipo katika Surat An-Nisa (4:157–158):
(Qur'an 4:157–158)
Maana yake katika Uislamu:
1. Yesu hakuuliwa msalabani: Waislamu wanaamini kuwa haikuwa Yesu aliyesulubiwa, bali mtu mwingine aliyetwishwa sura yake akasulubiwa badala yake.
2. Yesu alinyanyuliwa mbinguni: Mungu alimwokoa Yesu na akamwinua juu, na ataendelea kuishi hadi atakaporudi tena duniani kabla ya Siku ya Kiyama.
MAMA YAKE
na Maryamu binti Imran, aliyehifadhi utu wake, tukampulizia ndani yake kutokana na roho yetu, na akayasadiki maneno ya Mola wake na vitabu vyake, na alikuwa miongoni mwa watiifu."
(Qur’an 66:12)
Maryam alikuwa mwenye uchamungu, mtii wa hali ya juu kwa Mwenyezi Mungu.
Alichaguliwa juu ya wanawake wote
(Qur’an 3:42)
Watakuambia Isa ni lugha ya Kigiriki:Isa sio Yesu
.
. Katika Biblia ya Kikristo kwa Kiarabu:
- Yesu anajulikana kama "Yasūʿ al-Masīḥ" (يسوع المسيح) ambayo inamaanisha "Yesu Kristo."